HomeFashion

Zifahamu Sehemu Muhim za Kuspray Perfume Ili Ikae/Idumu Siku Nzima Mwilini

Zifahamu Sehemu Muhim za Kuspray Perfume Ili Ikae/Idumu Siku Nzima Mwilini
Like Tweet Pin it Share Share Email

maxresdefault (1)

perfumes (2)Mara nyingi kwenye kuspray perfumes /scents zetu sehemu common tunazojua ni SHINGONI,KWENYE WRIST,NA KWENYE NGUO this is all wrong kama ulikuwa wafanya hivi ,time to change up.

Unakuta perfume ni nzuri tu but wajiuliza kila siku mbona haidumu siku nzima????well makosa ndo hayo na mengine nakujuza kaa nami.

1.CHANGUA THE RIGHT PERFUME

Hiki ndo cha kwanza na ndo the most important part

Kuna perfumes za aina nyingi hizi za  Eau de colognes msome kwanza zimeandikwaje ,hizi ndo zile zapotea harufu ndani ya saa moja na za are eau de toilette hizi kuanzia masaa mawili na kuendelea.can last for 2 hours or more. Sasa kama unataka perfume inayokaa zaidi ya masaa manne jaribu  L’eau de parfume , hizi zina higher oil concentrations na hazitapoteza harufu mpaka masaa manne na zaidi kupita ,sasa Illee the classic one  ndo zile zinakaa zaidi ya masaa hata 6 huko na kuendelea hii ndo ina last long bila hata kutumia nguvu .

wheretosprayperfume (8)

2.TESTING THE PERFUME KABLA YA KUNUNUA

Ukienda kwenye stores mbalimbali watakwambia nusa au wewe mwenyewe utanusa the DONT usinuse perfume hapo hapo uki ispray subiri kwanza dakika kadhaa maana ikikauka kidogo ndo utapata harufu halisi ya perfume kama una invest in a good one take your time coz ukinusa ile umespray tu kwenye mfuniko au mkono harufu itakuwa sio ile hailisi am sure hii isha watokea sana unanunua perfume you think you like it but ukaenda paka sasa unawaza mbona harufu haikuwa ile ulodhani .

Kingine usinuse spray nyingi nyingi kwa wakati mmoja mwisho utashindwa kujudge ipi nzuri ,subiri baada ya few minutes nusa tena nyingine.

Subiri dakika 5 hadi 10 ndo unuse perfume hiyo.

Perfume

BEFORE APPLYING THE PERFUME /KABLA YA KU SPRAY PERFUME YAKO

So ushanunua perfume yako ,na uko tayari kupitumia WAIT 

Kwanza :::Am sure ukioga ndo wapaka perfume yenyewe so kausha mwili na MOISTURIZE YOUR SKIN .

Paka mafuta/lotion yako mwilini na isiwe nayo na harufu sana itaingiliana na perfume .

wheretosprayperfume (1)

Mbili::Usi spray mwili mzima,Perfume inatakiwa kuwa sprayed kwenye pulse point hizi ni zile sehemu zenye joto sana mwili kama kwenye nyuma ya maskio,nyuma ya magoti etc.Hizi sehemu zitafanya perfume iweze ku last long.

Tatu:: Do not rub your wrist /usisugue mwanzo wa viganja vya mikono.

Yes kuna ile unapaka hapa mwanzo wa viganja vya mikono then ndo unapaka shingoni au unaishia hapo hapo kufanya hivyo sio sahihi,

Perfume inakuwa distorted na itapoteza harufu yake harakawheretosprayperfume (6)

Nne::Spray the perfume kabla ya kuvaa ,so hiki ni muhimu sana kwasababu ukishavaa sehemu unazotaka paka perfumes zitakuwa zishafunikwa na utataka ku spray juu ya nguo ndo yale mambo nguo zinaharibika .Young beautiful woman with bottle of perfume. Perfect Makeup. Fashion photo

WHERE TO SPRAY

THANK ME LATER .

Hizi ndo zile pulse points za mwili wako ambazo zinauwezo wa kuhifadhi au zina joto muda wote .

1.SPRAY ON YOUR HAIR/HAIR BRUSH

Yes sehem ya kwanza ni ku pulizia kwenye nywele zako wanasema wata alamu wa mambo kuwa nywele zina uwezo wa kutunza ile harufu ya perfume kama hii hujapenda basi  spray kwenye hair brush yako then chana nywele zako hivi pia itabaki kwenye nywele.

wheretosprayperfume (4)

2.NYUMA YA MASIKIO

Masikio nayo huwa yanajoto as perfume zimetengenezwa ku react sehem zenye joto kama nyuma ya maskio.

wheretosprayperfume (5)

3.DOWN YOUR BACK

Sehemu nyingine ni sijui niseme mgongoni ila haiko sawa well tuseme ni kwenye shingo kwa chini kidogo ndo nako kuko warm so spray there for a lasting long scent.

wheretosprayperfume (3)

4.NYUMA YA MAGOTI 5.KWENYE KITVU MMHH,6.KWENYE COLOR BONES HAPA SHINGONI HAPO ndo ile mtu akikuhug anasikia perfume yako

SEHEMU NYINGINE NI KAMA PICHA HAPA INAVYOELEKEZA.

perfumes (3)

STORAGE /UHIFADHI

usiweke pefumes zako sehemu ambazo kuna joto au mwanga mkali au direct sunlight ,ziweke sehemu kavu na cool yenye (ubaridi),sehemu yenye joto itafanya perfume yako iweze kupoteza ile harufu yake.
maxresdefault (1)

Comments (2)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.