HomeZEZETv

Zezetv : Shost talk on Why Comment I am “INSPIRED” “You Inspire Me

Zezetv : Shost talk on Why Comment I am “INSPIRED” “You Inspire Me
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kwa wale wote wanakua inspired na mtu fulani au watu fulani ,kua inspired ili uweze kua the best version of yourself ,na wanao ku inspire kuna lots of work wanaweka kwenye kutengeneza life yao ,ile ndo uku inspire wewe sio picha tu na matokeo ya hard work,kua in for all of it the sweat,tears na mwisho wa siku the  good results 

Comments (2)

  • Yaani sijaelewa kuanzia heading ya hii habari, fanya ‘proof reading’ kidogo kabla ya kupost basi. Nadhani uliposti ukiwa na mzuka hivi! Halafu ni bora uandike kiswahili kilichonyooka au kiingereza kilichonyooka maana kuchanganya hivi unakua hueleweki.

    Reply
  • mie ningesema unaniinspire maana wakati nakujua ulikuwa kizungu zero , sasa naona a lot of improvement. My sister you must have worked really hard , kufika hapo…. :):):)

    Reply

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.