HomeZezekibubuchallenge

ZezeKibubuChallenge Ushuhuda wa kutoka kibubu cha kawaida hadi NMB Bank

ZezeKibubuChallenge Ushuhuda wa kutoka kibubu cha kawaida hadi NMB Bank
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hello wale wa chuma ulete hapa mtajifunza kitu kukubwa sana,so far watu ni wengi ambao wali save hela zao na sasa wana vuna vizuri tu ,ila kuna wale wanaotaka kulia sasa hivi maana waliishia njiani.

Naomba tuelewane kitu sio lazima ufate hizi challenge kama zilivyo ,save kulingana na uwezo wako ,na malengo yako.

Bibi hapa story yake inafurahisha sana ,anatufundisha kwamba sio lazima uwe na hela nyingi uweze ku save jinyime save,kiasi flani ,pia kua na malengo na stick nayo mwanzo mwisho.Hamna kitu kirahisi ni consistency na focus.

Dada aliogopa chuma ulete akapeleka pesa zake NMB Bank,huko zinakua safe zaidi #kibubudigital

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.