HomeWedding

Wedding Highlights #02

Wedding Highlights #02
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hello

Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao.

Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi yako mpiga picha au mchukua video anaweza kukutengenezea highlights za vitu vilivyotokea vile muhimu tu .

Nawapostia harusi ya Shamim na wengine wengi  highlights tu mcheki muone mfano then mfanye, na nyie zile za harusi video ndeeefu hiyo weka kwa ajili ya kuangalia home hizi za kushare fanya iwe na matukio muhim tu ya harusi nzima .

Nitachanganya na picha za harusi za vitu unique kuwapa ideas na inspirations mbalimbali.

When the bride is extra and creative

love this dress  and the shoes 

Here comes the bride

Gigi Hadid in Moschino SS19

una prefer nini

A.DRESS or B.JUMPSUIT???

That bow

her skin is flawless

yassssssss

Dashiki bridesmaids 

slaying in kitenge

decor za engagements

Bride and her girls

waweza cheza ngoma ya kwenu kama ni kisukuma au kichaga ukachanganya na zingine

Hivi kutunza Bongo bado kupo???

groom did not come to play

Dada kanikoshaaaa

mother daughter dress up

 

Bridemaids kama hawa watachangamsha harusi sanaa

for those fearless brides ,Off White SS19

Kuna nyimbo jamaniii

kisultani zaidi

Queening

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.