HomeMISHONO

ISHONO #276 :WCB WANOGA NA VITENGE KWENYE UZINDUZI WA WATAKUBALI BY MBOSSO

ISHONO #276 :WCB WANOGA NA VITENGE KWENYE UZINDUZI WA WATAKUBALI BY MBOSSO
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kwenye uzinduzi wa Watakubali by Mbosso ilofanyika jana and we are loving WCB walivaa vitenge ndo mambo tena ya kuproote biashara za familia.

They are also good kwenye kutengeneza themes na kuvaa some kinds ya sare flani hivi.

Daimond kavishwa na Speshoz

Shoe game nimeipenda

Mbosso alivaa koti la kitenge 

Harmonize and RayVanny

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.