HomeFashion

Was Vanessa Mdee Skirt Inspired by Versace’s FW18 Printed Skirt????

Was Vanessa Mdee Skirt Inspired by Versace’s FW18 Printed Skirt????
Like Tweet Pin it Share Share Email

Vanessa Mdee ame drop a new video inaitwa THAT’S FOR ME ,huko ndani kanogesha mwenye video ,love the new look ya kuanzia nguo zake na za dancers.

Video ilirembwa sana na checkers naona ndo main print yao.loved her look ambayo kavaa sequin pamoja na hii skirt yenye shuka za kimasai na prints zingine kama stripes na checks.

Nimeona hii skirt nikakumbuka ile ya Versace’s FW18 Printed Skirt kutoka kwa collection yao ya Spring 2019 .

I love the touch ya shuka ya kimasai hapo

Ambayo kavaa J.Lo na hata Nicky Minaj

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.