HomeMapishi

Wapikie wanao fried chicken na Velvet Cake by Aroma Of Zanzibar kwenye Eid kesho

Wapikie wanao fried chicken na Velvet Cake by Aroma Of Zanzibar kwenye Eid kesho
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kesho ni Eid ofcourse madiko diko lazima yahusike

Leo tucheki vyakula ambavyo watoto wanapenda am sure tayari pilau mnajua,tucheki cake ya re velvet na Kuku wa kukaanga.

tuturial by Mama yetu wa Aroma of Zanzibar msiache ku mfollow.

Miguu /mapaja au sehemu yoyote ya kuku
Kitunguuu thom na tangawizi mbichi

Mayai
Maji
Hot sauce ya iana utakayopenda

Unga mweupe
Chumvi
Pilipili manga ya unga
Pilipili ya unga ya paprika/au yoyote
Unga wa vitunguu maji kama utapenda
Mchanganyiko wa bizari utakayo penda sio ya mchuzi

Mafuta ya kukaangia

 

Unga mweupe vikombe 3 /385gms
Baking powder Vjk 2 vidogo
Chumvi nusu ½ kjk kidogo

Siagi kikombe 1 /225gms (2 sticks)
Sukari vikombe 2 1/2 cups/500gms
Maziwa ya mtindi kikombe 1 ½ /350ml
Arki ya Vanilla vjk 2 vidogo
Mayai 6 egg

Mchanganyiko wa red velvet
Unga wa cocoa vjk 3 vikubwa
Baking soda ¼ kjk kidogo
Maji ya siki kjk 1 kdg ( vinegar)

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.