HomeWedding

Walter Odemba and Irene Kamugisha’s Nuptials

Walter Odemba and Irene Kamugisha’s Nuptials
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hello

This Monday we are celebrating two people ambao wameamua kua mwili mmoja kisheria,Walter na mke wake Irene.

They had a beautiful wedding ceremony ,ilikua outdoor and they wore white ,which was amazing ila kilichotisha zaidi Walter hakuvaa suit kama grooms wengine ,alivaa shorts na shati na sandals,very unusual but unique wengi wanavaaga suit.Kingine Bi Irene alivaa a white satin dress kwa juu kulikua na lace with just her short hair hakukua na veils or jewelries nyingi alikua simple.

Decor 

the cake 

beautiful

The beautiful Irene

she made a beautiful bride

Mr and Mrs Walter

that look in their eyes though 

Mapenzi kama yote 

Lilian Mwasha na Irene

Mr.Luvanda,Irene ,Walter na Lilian Mwasha 

Na kwa pete hii ninakuoa uwe mke wangu wa ndoa ……………………

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.