HomeHabari ya mjini

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAICHANGAMKIA SMART BOMBA YA VODACOM TANZANIA

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAICHANGAMKIA SMART BOMBA YA VODACOM TANZANIA
Like Tweet Pin it Share Share Email

 Mkazi wa Machava Kigamboni jijini Dar es Salaam,James John akipatiwa huduma ya kusajiliwa namba ya simu yake jana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,Wakati wa  promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Edisa Mathias(kulia)akimpatia maelekezo Mkazi wa Machava Kigamboni jijini Dar es Salaam,James John,Juu ya huduma bora zinazotolewa na mtandao huo Wakati wa  promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.

Mkazi wa mji mwema kigamboni jijini Dar es Salaam,Shabani Hussein akisajiliwa namba ya simu yake jana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania, Armoury Shabani wakati wa  promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.

Mkazi wa Vijibweni kigamboni jijini Dar es Salaam,Fred Anthony akifafanuliwa  jambo jana na mfanyakazi wa Vodacom Tanzania,Edisa Mathias,Juu ya ubora wa simu mpya aina ya Smart Bomba ya kampuni hiyo yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha miezi 3.

 

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.