HomeHAIR STYLES

Updo Braids style to try

Updo Braids style to try
Like Tweet Pin it Share Share Email

Sasa hivi watu wengi wameamka kwenye suala la kua na natural hair,wengi mno wameacha kuweka dawa.

Now box braids au braids ni njia moja wapo ya ku protect nywele zako kipindi ambacho labda baridi,au ukiwa umechoka style moja pia.

Au kama zimekatika sana unazisuka kuzisaidia zikue kwa upole bila kuzihangaisha sana na mambo ya kuzichana kila siku.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.