HomeUrembo

TUMSAIDIE ANASAKA KIPODOZI/DR WA CHUNUSI

TUMSAIDIE ANASAKA KIPODOZI/DR WA CHUNUSI
Like Tweet Pin it Share Share Email
acne-like-rash-on-the-face-care-homemade-skin-pimples-coral-springs-florida-12126
nina SHIDA MOJA ya muda mrefu…NINA CHUNUSI na ni muoga sana kutumia vipodozi kwa sasa kwa sababu nilishajaribu vipodozi vingi sana zamani vikafail, kiufupi ni chunusi ambazo ninazo toka navunja ungo…so kind off zipo kwenye hormone (according to some dermatologist nliowaona humu nchini)

I met two dermatologists…pale AAR na mmoja yupo Mbezi Beach anaitwa Dr Mboneka yeye ana hospitali specific kwa ngozi…bado sijafanikiwa

So naomba msaada wenu…Kama ni Kipodozi ama Daktari/Therapist yoyote wa ngozi tafadhali naona nisaidie contact ama nielekeze niende…the furthest i can go ni South Africa kama huyo mtu si local kwa kuwa sina kipato kikubwa cha kuafford kwenda marekani na mbali zaidi
naomba tumsaidie mdau na kwa tips za mambo ya urembo pita blog ya BONGOUZURI.COM

Comments (25)

 • Mimi sio daktari wa ngozi ila na deal na products za Forever from which kusoma na kuhudumia watu wengi nimeona zikisaidia watu wengi wa matatizo ya Ngozi from hormanal Imbalance. Note hizi sio dawa: so for starters ningemshauri kufanya internal cleansing using our products.
  Then change of diet (clean eating sio kwaajili ya kupungua only its good for the skin too)
  Na pia mazoezi kidoogo.
  After that sasa ndio tutaongelea product za nje ya ngozi.
  Akitaka ushauri wa Ana kwa ana 0718077209 i’m ready to help

  Reply
 • pole dada hata mimi nilikuwa na tatizo hilo nimesaidiwa na asali na kitunguu swaumu weka namba yako ya cm nikupe maelekezo

  Reply
 • Nakushauri umuone Daktari mmoja anaitwa Dr. Masawe yuko pale Medicorps clinic iko opposite Mbuyuni Mitaa ya Ada Estate karibu na Maria clinic..anaweza kukusaidia.

  Reply
 • pole sana, nakushauri kama utaweza kuna madaktari wazuri wa ngozi Nairobi hospital na jomokenyatta watakusaidia utapona kabisa ni ksh. 20000. kama utashindwa basi kula mboga ya majani aina ya spinach kila siku au bracolli, matunda ya kutosha na maji kwa wingi.

  Reply
 • call me nilikuwa nashida hiyo tangu darasa la tano.call nikusaidie

  0717 124343

  Reply
 • Nakushauri tumia bidhaa za kampuni ya FOREVER LIVING zitakusaidia sana.
  tumia alovera juice kwa ajili ya kusafisha ndani ya mwili ili kuondoa matatizo yaliyomo ndani,kisha kwa kusafisha nje tumia liquid soap ya forever living ambayo inasaidia ktk kuondoa harara,chunusi,upelefangas,kuua bacteria na kuifanya ngozi iwe nyororo.
  kisha pakaa gelly tube ya forever ambayo pia husaidia kuondoa tatizo la chunusi,alergy,majipu,malengelenge,fangasimapunye na vidonda.
  bidhaa hizi zitakusaidia sana.
  pia waweza tumia Aloe Fleur de Jouvence pia ni ya kampuni ya forever ambayo ni full package kwa ajili ya cleansing,recovering na rehydrating.
  nipo tayari kukusaidia incase km utahitaji maelezo zaidi au kuhitaji hizo bidhaa coz ninazo.
  karibu sana.
  my contacts are 0765479715/0683806858

  Reply
 • Dada kwanza pole, hujachelewa nimesoma maelezo vizuri. Mimi nilikuwa muhanga pia kwanza acha kuyaminya kabisa usishike uso najua kuwa ni ngumu ila jitahidi. Mimi nilishaenda kwa ma dr wa ngozi TZ yaani karibia wote sikupata hata nafuu. Nilipiga konde mwezi wa 4 mwaka huu nikaenda South Africa nikapata Dr.wa ngozi, nilipimwa damu then Dr. alinipa dawa for 6 month nameza, nimesha maliza miezi mi4 yaani nipo soft siwezi hata kuelezea. Pia wala situmii macream yakutisha amenipa sunscreen ya cetaphil napaka asubuhi na kila baada ya masaa ma2 yaani kaniambia hata nikipona nisiache sunscreen na usiku napaka cream ya cetaphil uso naosha na sabuni ya Dove. Nategemea mwezi wa 10 kurudi tena ili nipewe sasa dawa za kupaka na mazagazaga mengine atakayo niambia.

  Nikushauri kitu acha kupaka macream ya mtaani acha kabisa mie nilikuwa hivyo sijatumia cream gani yaani kuanzia macream ya mtaani hayo ya kina director hadi expensive cream
  yakina LAMER nilikuwa nikiambiwa jaribu hii nami nimo. Acha muone Dr. utapata suluhisho. hizo cream zitakupa faraja ya wiki au miezi ila tatizo lipo palepale. Dr. aliniambia usichukie sikupi vitu vya kupaka nenda kanywe hizo dawa ili hormones zako zikae sawa.

  Contact za hospital niliyoenda
  Velspesialist- Demotology/Nouiskin
  199 Bronkhorstaat/Street
  Nieuw Muckleneuk
  Pretoria
  Tel:012 460-4646/50 hii ni ya hospital

  Dr. P Mahahlela huyu ndio Dr. anayenitibu ila wapo kama wa 2 wengine nao ni wazuri.

  Pole kwa gazeti. Nakutakia kila la heri mpendwa kama unalolote uliza

  Reply
 • Nenda Agakhan onana na Professor Mgonda, yeye anatibu ngozi tu, hiyo yaweza kuwa pumu ya ngozi nenda kwake utapata msaada mkubwa

  Reply
  • you are very right…sio kila chunusi zinzzompztz mtu ni hormones au diet…watu wengi wana pumu ya ngozi but wanaitafsiri kama chunusi ya kawaida. best to see a Dermatologist akufanyie vipimo then akuweke kwenye the right track ya treatment.

   Reply
 • Pole sana, hiyo haita pona kwa vipodozi coz shida iko ndani siyo kwenye ngozi. kunywa dawa inaitwa ACNOTIN . Ila wakati unatumia dawa hiyo hakikisha hushiki mimba wala huna mimba, na ukimaliza dose ukae mwezi mzima bila kushika mimba. ikitokea kwa bahati mbaya ukashika mimba itabidi ufanye abortion otherwise utazaa mtoto mwenye ulemavu. Ni dawa very effective, utanishukuru.

  Reply
 • fanya hivi

  maji lita 2 au zaidi kwa siku, punguza sukari katika vyakula, hakikisha kila siku unakula matunda ya kutosha, hakikisha mafuta. unayopaka kichwani au sehemu nyingine ya mwili hayagusi uso wako. then nunua sabuni ya forever living iko kwa copo leupe inaitwa hand and face wash nadhani sh 24,00-26,000 osha uso wako paka ute wa olevera/shubiri kaa nao muda unaotaka ukipenda paka halafu lala nao. alovera yenyewe sio product yaan paka ute wa mmea wenyewe, kama uko tu nyumbani fanya hivyo hata mara 3. usipake chochote. trust me nilikua zaidi yako. uwe nvumilivu matokea kuanzia wiki mbili na kuendelea. madokta na vyote vilivyosemwa hapo juu javikusaidai niliponea hapo

  Reply
 • Pls watoa ushauri muwe makini, kuna madr wanatoa dawa za uzazi ambazo zinasaidia kwenye ngozi ila ni majanga sana kwenye uzazi, unapopewa dawa hakikisha unaisoma side effects n customer reviews, kuna dr anatoa dawa zilizopigwa marufuku Uk!

  Reply
 • wacha kula nyama na mafuta ya kula tumia alizeti kwa ujumla kula vyakula vipole na acha kutumia mafuta yeyote usoni isipokuwa nivea yenye hydro iq pia usivae cheni au hereni ambazo so silva au gold zina reaction na ngozi kwa baadhi ya watu healing your skin starts from inside.

  Reply
 • Dear kama bado unalo hili tatizo njoo ofcn kwetu ilala boma mwali u house gorofa ya 8

  Reply
 • EPUKA FEDHEHA NA KUKOSA CONFIDENCE KWA SABABU TU UNATATIZO LA NGOZI USONI! WASILIANA NAMI 0764014285 URUDISHE CONFIDENCE YAKO! TIBA NI YA UHAKIKA

  Reply
  • Mtafute Dr mmoja anaitwa Hodari ni mzuri sana kwa tuba ya ngozi. Yupo Mwanza anashauri na pia anatumia Tina ya asili kwa gharama nafuu kabisa mtafute kupitia namba 0787733450 au 0766823758.. Usipuuze mtafute

   Reply
 • Pole Sana mm pia nilikuwa na tatizo Kama ilo ila kuna bidhaa zilinisaidia za kunywa na kupaka coz tatizo linaweza kuwa na ndani pia ww unangaika kutiba nje haitasaidia kwa ushauri zaidi call 0763711839 na bidhaa za kutumia nitakuelekeza.

  Reply
 • Mbona hawajibu anapona mimi nimepona nilikuwa hivyo au zaidi

  Reply
 • dada zangu hata mimi niko nailo tatizo so nilikua naombeni mnielekeze matibabu ili namimi niweze kupona

  Reply

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.