HomeUncategorized

TIPS 7 ZA KUKUSAIDIA KU SAVE HELA UKITAKA KUFANYA SHOPPING KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU

TIPS 7 ZA KUKUSAIDIA KU SAVE HELA UKITAKA KUFANYA SHOPPING KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU
Like Tweet Pin it Share Share Email

Ni mwisho wa mwaka which means SALE SALA SALE kila mahali but muwe makini sababu baada ya holidays ndo ule mwezi dume JANUARY 

I think shopping ni kitu kizuri hamna anaechukiaga kwenda shopping ila sasa shopping yaweza kugeuka kuwa shetani lilojificha.Kama ni shoping ya kwenda physically au online shopping ambayo kibongo bongo huhitaji hata card PESA ZIKO KWENYE SIMU TAYARI na siku hizi  delivery kibao usipoangalia waweza letewa vitu kibao  na ukute hata huhitaji vyote .

So nashea nanyi Tips mbali mbali za kukusaidia usitumie hela nyingi sana kwenye ku shop.

1.USINUNUE VITU VINGI KISA TU NI BEI RAHISI.

Kati ya vitu ambavyo ni rahisi kuwa trapped na ukakamatika kwenye mambo ya shopping ni vitu bei rahisi au ambavyo viko on sale,na account za kuuzia nguo ni nyingi mnooooo huko insta jamani yani kila siku zinaongezeka.Na kwakuwa vitu vingi wanauza bei ambazo ni affordable kwa wa Tanzania wengi then unaona tu ngoja ununue basi unanunua mpaka usivyovihitaji.

Na kitu wengi huwa hawagundui au hawatilii maanani ni kuwa hizo nguo unaona bei rahisi ukinunua nyingi sana ni hela nyingi pia but mtu anaona kutoa elf kumi kumi nguo sita ni elf stini hii unaona ndogo jiulize hivi kweli unahitaji vyote??au wanunua kwakuwa viko on sale.

Sasa basi nunua vitu hata kama ni cheap basi chukua vichache tu save the peenies zinazobakia jamani.TIS3

2.USINUNUE KITU KAMA TAYARI UNACHO /KINACHOFANANA (VERSION)AU KUENDANA NA HICHO KINACHOUZWA .

My favourite Tip kwakweli unakuta mtu una chiffon blouse kama mbili labda rangi mbili tofauti au prints tofauti utataka ununue kila color imekuwa UNIFORM??? unajisemea kabisa nna nyekundu na nyeusi tu basi wataka nunua blue ,kijani ,ya maua sijui mistari stari NOOOOOOOO don’t hapa kama una mbili basi si chiffon tayari jamani kila color za nini achia nguo zingine .Kama uko obsessed na aina flani ya nguo mfano skinny jeans na tayari unazo pair kadhaa siku unaona skinny jeans ziipite tu kama huzioni kwanini usinunue sasa boyfriend jeans maana obsession inatufanya tusiji control ,Iambie roho ishindwee na uache since unazo tayari.Na jiulize kama kweli unahitaji hiyo nguo kama u real real real real needs it kama jibu pia ni ndiyo acha remind urself una pair tano za jeans already.Ongeza suruali za kitambaa kama una moja eboooo.savingmoney2015

3.SHOP IN ADVANCE KUAVOID COST YA SHIPPING

Hii ni kama unanunua nguo online mara nyingi sherehe hizi zinaharibu budget sana kama hujajipanga ,jiandae mapema kwenye calender yako kama una harusi,birthdays,kitchen party na unajua huna nguo anza mapema kutafuta maana unakaa mpaka last minute ndo unanunua unakuta nguo unayotaka ipo ila shipping cost ni kubwa kuliko hata nguo yenyewe  kwa kuship nguo moja..

Na kwa wale wa insta mfano mtu yupo Morogoro au Mwanza  wewe mnunuaji uko mkoa mwingine na unahitaji kutmiwa nguo basi jitahidi kununua nguo mbili tatu kwanza muombe akutunzie ili siku anakutumia akutumie kwa pamoja upunguze gharama jamani mtu unatumiwa blouse ya elf 10000 kwenye cost ya kutumiwa ni el 5000 jamani sasa hapo hujafata kwenye basi kuna nauli tena kwanini usinunue nguo mbili tatu utumiwe kwa pamoja utasave hela ya kunua nguo moa moja mara tatu na ulipe shipping ya kila nguo separately.how-to-save-money-shopping-online-long

4.NENDA WINDOW SHOPPING JIZUIE KUNUNUA KITU

Its okay kutembelea instagram pages za nguo au wanazouza kitu ila usinunue kitu au wale wanaochanja kadi mnaingia mnacheki kilichopo but dont buy anything ,jifunze kupunguza obsession ya nguo kuwa kila ukiona tu unataka kununua.Just browse tu for fun jamani its nice kuangalia bidhaa mbalimbali .Utasave hela zako za siku hiyosave-money-online-tips

5.JITAHIDI KUNUNUA KITU KWA KUWA UNAKIHITAJI SIO UNAKITAKA.

Hii kwa wapenda shopping ni ngumuuuu nahisi kuliko zote ,jiulize do you real need hicho kitu like REAL???? au wakitaka tu mfano wataka a certain blazer na shati flani basi tu kuvivaa pamoja ila kumbe kuna option nyingine za kuvaa shati hilo au blazer basi utaji stresss hapoo wee nunua kimoja unachohitaji the most HOWEVER its okay ku break this rule mara moja moja but sio kila mara.TIP

6.JITAHIDI MARA KWA MARA KUPITIA NGUO ZAKO /CLOSET INVENTORY CHECKS

Hii ni muhimu sana jamani am sure hamuendagi sokoni kunua vitu vya kula nyumbani bila kucheki kwanza nini  kinakaribia kuisha au hakipo kwenye friji au kabatini au wherever mnaweka .Angalia nini hamna na unahitaji mfano huna labda mid skirt na unahitaji sana basi ukienda shopping focus kununua mid skirt.Sio tena unazo waongezea hapana okay kuongeza ni okay but mara moja moja sana nunua unachohitaji moyo hauridhikagiNJ

7.KAMA UNAJARIBU SANA KUBUDGET AU KWENDA NA BUDGET BASI JI UNSUBSCRIBE  KWENYE SHOPPING ACCOUNTS UNAZOPENDA .

Hii inakuwa kwa muda flani maka ujifunze na uzoee kuwa kwenye bugdet jitoe au UNFOLLOW hizo shopping account unazopenda au kutagiwa sana.Angalia budger yako na face the reality kuwa u real need to go on a budget na account nyingi ulizo follow vitu ni expensive you cant afford them jitoe nenda kwa account unazoweza ku afford wewe.

TIPA2

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.