HomeUncategorized

CAITYLYN JENNER’S STYLE UPDATES NA KUWA MKEWE WA ZAMANI KRISS JENNER ALIKUWA AKIJUA KUWA ANATAKA KUWA MWANAMKE

CAITYLYN JENNER’S STYLE UPDATES NA KUWA MKEWE WA ZAMANI KRISS JENNER ALIKUWA AKIJUA KUWA ANATAKA KUWA MWANAMKE
Like Tweet Pin it Share Share Email

So Caitlyn Jenner alialikwa kwenye conference ya Makers huko majuu akiongelea womanhood na her journey to transitioning.Kweli hii interview imesaidia kujua mambo mengi kuhusu yeye na safari yake hii.Anasema mkewe wa zamani na Mzazi mwenzake Kriss alijua kuhusu yeye kutaka kuwa mwanamke lakini alimpa rules kuwa asivae nguo za kike home wala asikae kikike nyumbani akitaka fanya hayo afanyie huko sehem nyingine.

Caitlyn anasema kuwa miaka 20 ilopita alianza kujibadili kuwa mwanamke alianza na hormones na pia anasema alikuwa kashaota matiti tena alikuwa size 36B na alipenda matiti yake lakini ikabidi atolewa nikisema kutolewa na maanisha kufanyiwa surgery na aache kutumia hizo hormones kwakuwa alihisi kuwa transitioning kwa miaka ile haikuwa muda sahihi,pia alikutana na Kriss ambae walipatana kwa muda mfupi na kuamua kuanzisha familia.

Kama hukujua kuwa Caitlyn alishaoa mara tatu na wake zake wote wa zamani waliachana kwasababu tu yeye alitaka kujibadilisha na kuwa mwanamke.

So nawaza Caitlyn angekuwa kawa mwanamke miaka 20 ilopita this means kusingekuwa na KYLIE wala KENDALL maana kipindi hiko ndo baba yao now mama alikuwa anataka kuwa mwanamke.

maneno yake 

“I started doing things to make me feel better about myself. I started on hormones. I was a good 36B. I loved them. I thought this was fabulous. My mission at that point was to transition before I was 40. Got to 39… I just couldn’t go any further.

Three or four months later, I met Kris. We hit it off from day one. I was very honest with her. I had to be, I was a 36B. Everything was really heading in the right direction, and I made this decision to move on with my life, Kris and I together with this family.3

I got to get rid of these gender things and get off hormones and this and that — I actually had my boobs removed. I never told anyone that.”

Generated by IJG JPEG Library

Back to her style updates

I must say Caitlyn hapa kapendeza maana ni ki corporate chic zaidi ,ndani ya pencil skirt,tank top na ki koti matata.

Generated by IJG JPEG Library

Her hair though

Generated by IJG JPEG Library

Jamani hii ni inspiration tosha kwa mnaopenda kutokelezea ki business zaidi.Love the coat hivyo vifungo vyake vikubwa vime endana sana na skirt yake and she paired her look with black pumps.

Generated by IJG JPEG Library

Kashajua na kuegesha hips

Generated by IJG JPEG Library

Hata kukaa now anakaa kidada sio kutanua miguu NDUKIII

jenner

Second look we love from her is this nude /brown coat of hers ambayo kavalia na a wide leg trouser 30CCE70500000578-0-image-a-15_1454394432921

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.