HomeMISHONO

The New It Skirt Fashion Girls Are Wearing

The New It Skirt Fashion Girls Are Wearing
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hii skirt wameipa jina la color blocking skirt,inavaliwa sana huko Ghana ,fashion lovers wameipenda,iko tofauti kidogo na skirt tulozoea ni something fresh.

Wanaishona kwa ku mix vitambaa mbalimbali na vitege,upande mmoja inakua ndefu mwingine fupi.Zote zinakua pencil skirt .

Nana Akubo

plus size baby 

you can pair it with anything 

cold shoulder top 

this skirt in so many colors ,inabidi uvae top ya rangi moja unless your extra.

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.