HomeWedding

The Best Dressed Bride this Weekend Snatched in Kyamirwa Styled by Juma Wilson

The Best Dressed Bride this Weekend Snatched in Kyamirwa Styled by Juma Wilson
Like Tweet Pin it Share Share Email

Kyamirwa ame prove kwetu kwamba habahatishi ,he means business only,sababu gowns zinazotoka kwake they are just gorgeous ,there is no way utashona kwa Kyamirwa utoke haueleweki no .

This Weekend alimvisha pia Vanessa a bride ambaye naweza kiri kwa harusi za hii weekend no one ame slay kama yeye ,kuanzia fitting,dress yenyewe just perfect.

Kingine nimefundua anajua kutumia vizuri undergarment ,nikimaanisha spanx au bra au whatever bi harusi anachovaa ndani ,with this look kama angevaa wrong undergarments tuongeona kwa nje but hapa iko smooth.

Dress yake ilikua ni zile zenye mikanda myambamba sana ,for church alivaa kama ki cape kudogo cha kishkaji chenye muundo kama wa butterfly ,kilipendezesha sana

details zilikua simple sana ,studs earrings,ma birdcage fascinator

the dress itself ni nguva amazing sana ,yenye details kwenye kiungio magotini hapa

less is more

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.