HomeWOMEN CELEBRATION

Tanzanite Wome’s Forum and Lunch 2019

Tanzanite Wome’s Forum and Lunch 2019
Like Tweet Pin it Share Share Email

Yaassss leo naomba niwaletee mchakato mzuma ulivyoenda wa ile event amazing ilofanyika this weekend.

Venue::Double Tree

Color :: Blue,Purple and Black

Organizer::Khadija Mwanamboka

Mc:Mc Linah

Organizer Khadija Mwanamboka
Purple girl ,yani her favorite color ni purple
Shamim Mwasha
Dressed by Mimiscollection
Upendo wa Lavie Makeup

Baada ya watu kupiga picha event ilianza na viongozi wa JUWADA kutuelezea JUWADA nini na inafanya nini ,inshort historia fupi.

Miriam Mungula
Mwenyekiti JUWADA
Badra Masoud
Mwanahabari wa JUWADA
Badra na Mc Linah
Elizabeth

Baaada ya JUWADA alikuja dada wa smartmoneydecisions ,alitufundisha mengi kuhusu savings ,tu savuje na wapi etc.

Huyu ni Flora yeye ndo alikua main sponsor wa event ,Amekuja na mengi moja wapo ni hii hedhi cup pamoja na hedhi App
Amekuja na hedhi cup ,na hedhi App pia hedhi wipes
Miriam Odemba aliingia ,wearing a blue number kutoka kwa designer
Fouad Sarkis

The Auction

Alinunua Ashura Sapi akairudisha tena
Akanunua Mwanahamisi Singano

Burudani ya kufa kiumbe kutoka kwa Abbysollo
Alitisha sana alimuimbia Mwanahamisi Singano hadi alinunua ile set ya Tanzanite
Another piece ilikua Uhuru Wings kutoka kwa Jacqueline Massawe

Another necklace by  DADAZ ARUSHA AND ROSE VALENTINE

Nambua cassandra alinunua hii

Tulikua na panel discussion pia

Upendo wa Lavie makeup studio na lavie cosmetics

OUR MODERATOR @victorialihiru(secondleft), THE PANEL @mishysingano,@laviemakeup

OUR MODERATOR @victorialihiru(secondleft), THE PANEL @mishysingano,@laviemakeup and UMMY NDERIANANGA -CHAIRPERSON OF SHIVYAWATA 

Fashion Show
Designer wa kwanza alikua MALIKA DESIGNER

KATTY COLLECTION

Katty collection mwenyewe

MGECE CICI DESIGNS

Miriam and Mgece cici

ASIA KHAMSIN

ZAMDA GEORGE

MUSTAFA HASANNALI


IRADA STYLE

KHADIJA MWANAMBOKA

Designers na Models
Na hawa ndo Tanzanite JUWADA group wakikata keki na Khadija Mwanamboka na viongozi wao

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.