HomeWedding

Wedding Highlights

Wedding Highlights
Like Tweet Pin it Share Share Email

Hello

Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao.

Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi yako mpiga picha au mchukua video anaweza kukutengenezea highlights za vitu vilivyotokea vile muhimu tu .

Nawapostia harusi ya Shamim na wengine wengi  highlights tu mcheki muone mfano then mfanye, na nyie zile za harusi video ndeeefu hiyo weka kwa ajili ya kuangalia home hizi za kushare fanya iwe na matukio muhim tu ya harusi nzima .

Nitachanganya na picha za harusi za vitu unique kuwapa ideas na inspirations mbalimbali.

Now i hope ntapata ushiriako wenu tuweze kuishibisha hii category mpya .

Video ya dakika moja ila inakua imebeba matukio yote muhim

 

Zingine ni Brides serving looks kwenye their wedding day

wifey for Lifey

Comments (0)

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.