KIASI GANI CHA FEDHA UNATAKIWA KU SAVE KUTOKANA NA UMRI WAKO.
Ulishawahi kukaa na kufikiria kiasi gani cha fedha ulitakiwa ku save kutokana na umri wako?Hivi ndo maisha yatakavyokua kama hauta chukua hatua na kuanza ku save ••MIAKA 20 -Me bado mdogo doing my thing 💄💃🏼💅🏽kinge kingiiiiii ,ndo wale i want to have fun nna miaka kibao nta save mbeleni. MIAKA 30 – Niko kwenye relationship… (0 comment)

Usinunue DUMB SHIT kufurahisha watu
DUMB SHIT zako weye ni zipi? 1. Original handbag & Shoes ili tu wakuone huvai feki ( chahakiki kisiwe feki ni madawa tu maana utakufa🤣 #kukukukujogoojina 2.Gari ( kubwa au jipya wakati yoote yanakutoa sehemu moja kwenda ingine Unless iwe la kazi maalum…. ni kweli IST haiwezi beba mzigo km #nissanhardbody🥴 3. Kupanda BusinessClass…. si mnafika wote… (0 comment)

ZEZE KIBUBU CHALLENGE ::TIPS ZA KUWEKA AKIBA BILA STRESS
ZEZE KIBUBU CHALLENGE #zezekibubuchallenge Wengi mmenifuata mkisema mnapumulia machine kwenye kuweka Akiba ngoja niwape tips kadhaa za kufanya ili tufike #desembabilastress #julytuhamiebank @nmbtanzania #bonusaccount #tuonanedesemba💸 . . 1. Saka kipato cha ziada #sidehustlebusiness #sakabidhaazenyebonus nk 2. Epuka vyakula vya kununua pika nyumbani au beba cheki offer za kulipa kwa mwezi 3. Linganisha bei kabla ya… (0 comment)