Work Wear Ideas for this Week
For my 9 to 5 ladies or anyone who means business and want to serve slayage kwenye mfumo wa ki corporate zaidi ,au una meeting na mtu ambaye unaka kwenda formal zaidi. VB serving us whide leg pants and white top bow skirt and striped shirt paper bag floral pants na top nyeupe  love this… (0 comment)

Work Wear Ideas to Wrap up February
Hello corporate chicas,hii ni wiki ya mwisho tumalize mwezi february tukaribishe March ambapo kuna siku ya wanawake duniani. Ideas za nini cha kuvaa hizi hapa Sasa hivi kila kona ni culottes na wide leg trousers si mbaya uka invest in one tena black ili uivae to death  cullotes ndo habari ya dunia  suit up maxi… (0 comment)

Work Wear Ideas for My Hijabi Sisters
Asalam Aleykum Hope your all having a great Monday so far na matumaini na dua zangu ni muwe na wiki njema ya kheir na mafainiko tele. Leo tucheki how hijabista wanaweza kuvaa for work ,madhumuni ni kua covered and still look chic love this color palette ,badala ya kuvaa sneakers kama huyu switch with heels… (0 comment)

Styling Paperbag Waist Pants for Work
Hellow corporate chicas??how is Monday treating you??? Well leo we have paperbag waist pants ,am sure ushakutana nazo here and there ,hizi ni nzuri sababu juu kubwa chini nyemamba hivyo kwa waziba vitambi inafaa sana.na inapendeza watu wengi. rock your paper bagpants with a white tee  with a blazer with a spaghetti top and blazer… (0 comment)

How to Style Printed Trousers for work With Stella Uzo aka Jadorefashion
Hellow corporate chicas how are you??i hope mpo ofisini working and slying hard,nipo kuwapa outfit ideas leo tukicheki printed pants kutoka kwa fashionista maarufu Stella wengi mkimuita Jadore. The pajama style trend wearing two piece and animal prints pumps hapa ni mixed prints kinda of feel  Style your printed pant with a simple white top … (0 comment)