Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa #AywedsRemy
Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka A.Y amefunga ndo na mpenzi wake wa miaka 9 Remy ambaye anatokea Rwanda,Msanii huyo alimvisha pete ya uchumba Bi Remy mwaka jana Chekiposti. Na mwanzo mwezi huu mwanzoni walifunga ndoa ya kimila huko Rwanda Na weekend hii basi wakafunga ndoa hapa hapa bongo Mapamba yamesimamiwa na Kevinsevents  Beach please mambo ya… (0 comment)

Fikayo & Chino’s Wedding #Fino17
Their love story How We Met By The Bride and Groom, Fikayo & Chino Fikayo: We met in 2012, at a friends party. He has some weird recollections of this day though, but hey, to each his own eh? All I know is, he has refused to leave me alone since. Chino: I met her in 2012, at a friends party in Bradford.… (0 comment)

Harusi ya Kwanza kutumia Purple Kwenye harusi yao Baada ya kutangazwa kua rangi ya mwaka 2018
Nafikiri walikua hawajajua kua hii ndo rangi ya mwaka 2018 sababu imetangazwa alhamisi ilopita tu,lakini sometimes huwa coincedence za matukio ndo hizi . Hawa newly weds nimekuta picha zao kwa Manifester na imepedeza sana kuanzia bouquet ya bi harusi ina mixa ya maua ya purple ,suti ya bwana harusi kdhalika . Lipstick ya bibi harusi… (0 comment)

Wamjua GroomsLady ???
Mazoea hua sometimes yanaboa na kupotosha,imezoeleka sana kwamba wasiamizi wa bwana harusi huwa ni wanaume wakati wa bibi harusi wanakua wadada hence bridesmaids na groomsmen. But ukweli ni kwamba wasimamizi wa harusi kwa bride au groom wanakua ni wale marafiki wa karibu sana,so inaweza kuwa wakaka na wadada i mean bwana harusi anakua na marafiki… (0 comment)

Wedding Moments Zilizomake Headlines huko Instagram
Nina post ya New era brides ikiwa na category ya Showstoppingbrides huko na share anything bridal from hair ,dresses,makeup , decor,bridesmaids etc,humo utapata inspirations mbalimbali kuelekea your dream wedding Kama hujawahi kucheki ingia HAPA  But today nikasema nipost random pictures ambazo ziliwaacha wengi speech less au with woow huko instagram kama za decor,groomsmen,brides,bouquet ,wedding dresses… (0 comment)

Style Mpya ya Ku display Desert Kwenye Harusi #Dessert Wall,Cupcake wall and Dessert Cart
Wale watengenezaji cake and event planner step up your decor game up.Style hizi zilikuwepo but bongo watu hawafanyi sana ,so katika pita pita zangu nikakutana nazo nikasema niweze ku share pia na nyie. Hizi dessert pumzisheni kuziweka mezani tu ,sasa hivi wekeni kwene CART au Tengenezeni Donut Wall au cupcake Wall. This is so cute… (0 comment)