Zainab Bride Alonoga Weekend Hii,Her Dress by Kyamirwa  and Makeup by lavie
Katika brides ambao wamenoga weekend hii Zainab ndo kafunika,Fire yani we are collapsing for her She looked beyond beautiful Dress @kyamirwa Stylist @jumawilson MUA @laviemakeup Deco & event planner @kevins.events love her pearl tiara,unique and different since now days watu wanavaa crowns  that flawless makeup look her dress ilionyesha mwanamke kiunooo,satin imeenda shule,the fittings was superb,Kyamirwa hands up for… (0 comment)

Weekends Are For Weddings
Hello issa Monday and we check on the highlights za wedding mbalimba zilizofanyika on the weekend. All the inspirations from brides,bridesmaids,groom and groomsmen ,decor etc love from Tz the dress  Mtani Bespoke  natural hair bride kilichonovutia from this bride ni her hair style  and her second look mambo ya jumpsuti  high slit for days fringes… (0 comment)

Wedding Highlights
Hello Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao. Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi… (0 comment)

Best Makeup Looks and Dresses from Diva Glam’s Brides
Hello Friday Today tunacheki the magic hands za divaglam beauty,and we look into her brides kuanzia makeup,hair styles ,dresses and accessories. Kwanza Divaglam is known kwa makeup nzuri sana kwa dark skinned ladies mambo ya melanin mnaita wenyewe wa mujini na vingereza vyenu.sio kwamba mtu mweupe hawezi no anaweza mfanyai mtu yoyote japo wengi wanashindwaga… (0 comment)

FLASHBACK FRIDAY :: BRIDES WHO SLAYED THIS WEEKEND
Watu wanaolewa sana na kuoa miezi kama hii ,Masha Allah Tunawatakia kila la kheri kwenye ndoa zenu Insha Allah Ooh Julieth ,you made a gorgeous bride ulipendeza sana na mwanya wako her dress was on point too hawa wamechagua Wallah  that face though groom anapokubali kweli kaopoa chombo just beautiful queening  Agnes and her hubby… (0 comment)