Ile couple ya Ki Nigeria ambayo ina trend toka siku yao ya engagement to their traditional wedding ambayo tulipost pictures zao na sasa weekend hii walifanya white wedding huko South Africa. Kama hukucheki their traditional wedding basi ingia kwenye hii link HAPA ,bi harusi Adesua alivaa nguo nne,utapata na ideas za mishono mbalimbali. Am sure…
Dah this couple made my Monday morning Miaka 50 ya ndoa sio mchezo ,sipati picha Milima walpanda ,Mabonde waloshuka na bahari walizovuka. Congrats to them She looked stunning Photo credit ::photographybyolumide…
Jamani dogo janja kaoa tena so tuwatakie kheri tu .kumbe wamekaa kwenye mahusiano kwa mwaka mmoja ndo kuamua kuoana,na alipompeleka kwao walikaa siku tatu huko Arusha Hongera kwenu tunawatakia kila la kheri kwenye ndoa yenu. …
A couple that do things their own way Ditched the classic weddings with white dress,tuxedo and chapels Model and singer Teyana Teylor and her husband NBA player Iman Shumpert got married in a way couple nyingi hazifanyi hivyo ,walikwenda very simple hakukua na mambo mengi wala nini. What i loved about their wedding ni outfits…
…
Nowdays na mambo ya kizungu ni couples chache sana ambazo watafanya hii ,i mean kuweka mambo ya u Africa zaidi kwenye wedding reception zao na hata mavazi. But Rina na mumewe wanapenda sana African Culture tena especially vitenge since Rich Factory ni designer mkubwa tu huko South Africa. I loved the decor and their outfits.…
love her dress #offwhite The View is amazing this view Spectacular the venue is out of this world to the isle The Ido’s decor…
“The renewal of vows is a reaffirmation of commitment to your soulmate, a celebration of marital achievement, and a testament to the endurance of love throughout the trials of time. Whether the years seem to pass by unnoticed or each day an endeavor, your relationship milestones are beautiful achievement. Ten years and two loving sons…
Mnapokua childhood sweethearts to soulmates Sade & Ayo have known each other for 16 years. Even when some people might have thought they were too young to know love, they always knew they had something special. Today this young love had blossomed into something magical, the two are now husband and wife! …
Hii cake inavutia sana,am not sure about ladha yake but i hope ilikua tamu. But what captivated me ni the blue color ,white and the beatiful hydrangea flowers just amazing how gorgeous is this??? the decor nayo ilikua just perfecto cake corner hii kwakweli am loving it…