Wedding Highlights #02
Hello Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao. Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi… (0 comment)

Wedding Highlights
Hello Kwa sasa hivi weddings na mambo ya mitandao kila kitu mnafanya online ,kuanzia makeup artist,designer wa nguo,decor ,msosi ,Mc wote wana page an wanapost hizi harusi ,kiasi tujika kupost kwa blog watu hamu ya harusi ishawaisha siku nyingi maana mshaona kila kitu kwenye mitandao. Tumeona tuwe tunaweka wedding highlights za video.So ukiwa na harusi… (0 comment)

The Best Dressed Bride this Weekend Snatched in Kyamirwa Styled by Juma Wilson
Kyamirwa ame prove kwetu kwamba habahatishi ,he means business only,sababu gowns zinazotoka kwake they are just gorgeous ,there is no way utashona kwa Kyamirwa utoke haueleweki no . This Weekend alimvisha pia Vanessa a bride ambaye naweza kiri kwa harusi za hii weekend no one ame slay kama yeye ,kuanzia fitting,dress yenyewe just perfect. Kingine… (0 comment)

Walter Odemba and Irene Kamugisha’s Nuptials
Hello This Monday we are celebrating two people ambao wameamua kua mwili mmoja kisheria,Walter na mke wake Irene. They had a beautiful wedding ceremony ,ilikua outdoor and they wore white ,which was amazing ila kilichotisha zaidi Walter hakuvaa suit kama grooms wengine ,alivaa shorts na shati na sandals,very unusual but unique wengi wanavaaga suit.Kingine Bi… (0 comment)

Hongera Doris Mollel na Noel on your Nuptials
Well Doris Mollel wa Doris Mollel Foundation ambaye ni Humanitarian na founder wa Premature Born ,ana saidia na kutoa vifaa kwa watoto waliozaliwa premature.She is a beauty with brain ambaye na mu admire this weekend ame funga ndoa na Bwana Noel . Here are few pictures za harusi yao. i love their pre wedding pictures… (0 comment)

Ali Kiba and Abdu Kiba Double Reception
Baada ya kufunga ndoa sasa ilibaki Reception tu ya Ali Kiba na Abdu Kiba ,ndugu wawili hawa waliamua kufanya jambo lao kwa pamoja. Reception ilifanyika pale Hyatt regency dar es salaam,Nilipenda kwamba hii harusi ilikua na dress code Wanaume Kanzu nyekundu au cream na wanawake hali kadhalika nguo rangi hizi,kuna waliofata dress code na wengine walivaa… (0 comment)

EshaBuheti Ampa Maneno ya utu Uzima Mke wa Ali Kiba
Haya wifi mtu Esha Buheti kaandika kwenye ukurusa wake wa instagram ,kumfunda kidogo wifi mtu kumwambia kwamba Watu wakimpelekea maneno ya umbea awaambie tayari alishaambiwa. Kwako wifi kipenzii…… nnachokupendeaa unajuaa stara….. fichaa mwili wakooo hatutakiwii kuuonaa hy ni maliii ya king wetuuu andee yeye akauonee ndaniii….. mpz ndoaa ni ngumu sanaa ila itakua nyepesii kama… (1 comment)

Singer and Actress Lettoya Luckett Ties the knot with Business Man Tommi
Simjui sana Letoya on her music carrier but on movies nshamuona kwenye movie ya Lucky girl ya mwaka 2001 ila nilimpenda sana na zaidi kwenye series ya Single Ladies.She did ana mazing job there Ilikua October when she got engaged and this was her caption  ” Yes yeeeesssss” on his Burfday!! #issaengagement#GodShowedout #HesaGoodManSavanah#LoveWins #8/16/17 She just got married to… (0 comment)

Rest Bura’s Wedding
Resty Bura akijulikana zaidi kama rest fish bbq sababu ya ujasiriamali wake anaofanya wakuuza samaki ,ndizi choma ,nk ,ni mrembo ambaye amejizoelea umaarufu mkubwa sana tu huko instagram akiwa anatumia mitandao vizuri kufanyia biashara. This weekend alifunga ndoa na Mr.Lawyer kama anavyopenda kumuita yeye mwenyewe.But kabla ya harusi tucheki picha za matukio kama ya pre… (1 comment)