Walonoga Wiki Hii
Happy new Month folks December ni mwezi wenye mengi sana,watoto wapo likizo ,watu wame graduate,harusi kibao zinafungwa then kuna Christmas holiday ya mwaka kabisa. tucheki walodamshy weekend hii Mh.Jokate Mwegelo Mkuu wa mkoa wa Kisarawe alishinda tuzo ya style Icon of the year kweli simplicity is more Pendo CEO wa Lavie makeup in kenny the… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Jana ilikua Miss Tanzania 2018 na Mrembo  Elizabeth Makune,hongera Elizabeth kwa kushinda taji we pray and hope utafika mbali.Pia Basila Mwanukuzi na timu nzima ya Miss Tanzania 2018 tuwapongeza kwakweli mmejitahidi sana kurudisha shindano hili ,tuendee kutoa supporty zetu. Diana Flave Miss Tanzania 2016 akitenda kukabidhi taji , na yeye alidamshi hatari. Elizabeth Makune baada… (0 comment)

WaloDamshi Wiki Hii
Good Morning,kwa waislamu wengi leo ni siku ya Araf which means wengi wetu tumefunga ,niombe tu kwa Mwenyezi Mungu siku hii tukubaliwe funga zetu maana mwenye kufunga siku ya Arafa faida zake ni kubwa sana, Imetoka kwa Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kasema: “Swawm ya ‘Arafah nataraji… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning It’s official sasa kwamba Bongo nguo zinazo trend ni za style ya Kinigeria period,wengi ni mwendo wamalemba na Asoebi za kutosha . Tukianza na Bi harusi Zabibu Kiba in pink ,makeup ni divaglambeauty Owner wa Chavala beauty saloon naye yeye in Nigerian Asoebi When you marry your best friend ndo haya mambo ya… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning We have been MIA for a week but we are back at it Tuanza Monday na WALONOGA Jokate in a Kitenge peplum outfit by Jacques collection btw Happy belated birthday Jojo love this look ,from the hair to makeup  Martin Kadinda decided for double denim which is currently in sio kwamba ilipitwa na… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning karibu kwenye Walonoga Hongera sana Mama Alaska for winning  #AABLA‘s Young Business Woman of The Year she so inspiring ,unahitaji watu kama hawa maishani wakuku inspire ukua ,upande zaidi  OOhhh Wolper  Nargis is just too beautiful makeup and gele by glammadam Stylist of the year Noel ulipendeza sana kwenye Swahili Fashion Week Day 3 … (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Karibu kwenye Walonoga ,weekend ilikua na mengi hii .Mambo ya uchaguzi hongereni mloshinda udiwani,Kukawa na Fiest 2017 then wale Wa China madaktari nao waliagwa weekend hii iloisha ,so matukio yalikua lukiki. Kwakweli Wema kanoga sana Umependeza sana ulivyopungua the outfit imeendana kabisa na sehem uliyoenda ,mabwanga yamerudi jamani ,acheni ya kupita .   Shykaa na… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII ,Madam Ritha amuozesha binti yake,King Kiba ashinda tuzo mbili huko Afrima
Good Morning buriful people weekend iliendajeeee??? karibu kwenye walonoga Miss Jojo ni muda sasa huja slay naona kazi za chama zilichachamaa welcome back,and ume slay hard in this gold number by maccouture  Nandy ameshinda tuzo ya mwanamuziki bora wakike Afrika mashariki kwenye tuzo za AFRIMA mwaka 2017 ,Go baby girl Hurray kwa king Kiba kwa kunyakua… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning Leo kwa Dar Es Salaam pamekucha poa kabisa ,maana si kwa mvua ile ya weekend,Mikoni mmeamkaje???? Karibuni kwenye Walonoga Natural hair brides are the prettiest Makeup by Laviemakeup a queen with a crown Mama Twins Jacqueline Mengi in grey and a striped Kimono i also see a Chanel bag Hafsa looking fly in… (0 comment)