Walonoga Wiki Hii
Jana ilikua Miss Tanzania 2018 na Mrembo  Elizabeth Makune,hongera Elizabeth kwa kushinda taji we pray and hope utafika mbali.Pia Basila Mwanukuzi na timu nzima ya Miss Tanzania 2018 tuwapongeza kwakweli mmejitahidi sana kurudisha shindano hili ,tuendee kutoa supporty zetu. Diana Flave Miss Tanzania 2016 akitenda kukabidhi taji , na yeye alidamshi hatari. Elizabeth Makune baada… (0 comment)

WaloDamshi Wiki Hii
Good Morning,kwa waislamu wengi leo ni siku ya Araf which means wengi wetu tumefunga ,niombe tu kwa Mwenyezi Mungu siku hii tukubaliwe funga zetu maana mwenye kufunga siku ya Arafa faida zake ni kubwa sana, Imetoka kwa Abu Qataadah (Radhiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kasema: “Swawm ya ‘Arafah nataraji… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Ni muda hatujapost Walonoga wanakuaga sometimes wachache ndo maana naona niache tu,but this week nimeona niwaletee hawa wachache ila wamewakilisha vyema. Millen Magese stuns in a yellow eseazenabor dress them long legs Happy belated birthday King Kairo mtoto mcute  Another Mama na Mwana ,Hamisa na Mama yake kipenzi Mwamvita Makamba  Shamim Mwasha am here for these ruffles… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Good Morning,Asalam Aleykum Ramadan Kareem Kwa wale tunaofunga natumai chungu cha 12 kinaenda poa jamani siku zinaenda badi siku tatu tu tweze kuugawa mwezi . Karibuni kwenye Walonoga. Nancy Sumari yuko China akiwa ameenda ku attend conference ya Power f Innovation akiwakilisha NSFoundation na Jengahub. Keep at it Nancy  this beautiful bride amenogeshwa na Laviemakeup… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning Mother’s Day ilikua jana,i hope you all had a blast ,Mother’s are the best,ujumbe kwa Mama wote With that being said karibuni kwenye Walonoga . May God keep blessing you Jacqueline Mengi kwa kuendelea kujitoa kwenye jamii especially through education kwa kujenga Maktaba na kutoa Vitu kwenye shule mbalimbali. Uzinduzi wa shindano letu… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Good Morning ,Ramadhan 2018 is loading inaweza kua 14 au 15 May so ni wiki ijayo basically tuna anza kufunga.Naomba wote tujaaliwae tuweze kufunga Insha Allah. With that being said karibuni kwneye Walonoga Bride with short hair are the prettiest   Masha Allah bi harusi kajaaliwa jicho Hongereni organizers na designers wote ambao  mliweza kufanikisha… (0 comment)

WALONOGA WIKI HII
Good Morning its a good Week to have a good week weekend mambo yalikua mengi Harusi ya ndugu wawili Ali Kiba na Abdu Kiba,Mechi ya Simba na Yanga nk Bi harusi huyu alinoga ni Moreen❤️✨ makeup by Laviemakeup her smile sasa Mrs. Mengi bado ana attend International Dubai Fashion Week kajua kupendeza,nguo this time imefit poa… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Hello Monday #IssaMondayMoneyday Poleni wote kwa Misiba Wikii hii imekua ngumu kwa wengi,Mwenyezi Mungu Hongera Idris Sultan this is major Idris amepata shavu la kua kwenye jarida la Forbes Africa katika toleo la  30 Most Promising Young Entrepreneurs In Africa 2018 Idris Sultan, Tanzanian Founder, Sultan By Foremen 25-year-old Tanzanian national Idris Sultan won the 2014 edition… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii
Poleni kwa Mvua hope mpo salama ,kama mmepatwa na majanga ya Mafuriko poleni sana sana ,Hii mvua tuombe tu iacha kidogo maana imeshanyesha sana. But let’s get to people who made it to WALONOGA this week. Hongera Fatuma Karume kwa kua Raisi wa TLS Kwa wale walioenda kutoa heshima zao za mwisho kwa Mama Winnie… (0 comment)

Walonoga Wiki Hii ::Monalisa kuwakilisha Tanzania nchini Ghana,Tuzo zaMalkia wa nguvu
Good Morning Happy Monday Money day Karibu kwenye Walonoga. Hongera sana Faiza kwa event nzuri ya Single Mothers ,pita kwenye instagram yake FaizaAlly Kusoma zaidi na kupata details zaidi Jana Monalisa alikabidhiwa bendera na tiketi ya ndege kutoka Wizara ya Habari,Sanaa, Utamaduni na Michezo kwa ajili ya safari ya kwenda Accra,Ghana kwenye Tuzo za African… (0 comment)