WAKAZI WA KWAMTOGOLE-TANDALE JIJINI DAR WANUFAIKA NA KAPU LA PAMOJA NA VODACOM RAMADHANI
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation, Renatus Rwehikiza (kushoto) akimkabidhi Fatuma Khamis mkazi wa Kwamtogole – Tandale jijini Dar es Salaam (wa tatu toka kushoto) mfuko wa maharage ikiwa ni moja kati ya vyakula mbalimbali alivyokabidhiwa ikiwa ni msaada ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa ushirikiano na… (0 comment)

KAMPENI YA KUTOKOMEZA MARADHI YA FISTULA YAENDELEA WILAYANI UVINZA-KIGOMA
Umati wa wakazi wa kata ya Nguruka Wilaya ya Uvinza Kigoma wakiwa kwenye mkutano wa  kampeni ya kutoa elimu kuhusiana na maradhi ya  Fistula yanayowakabili wanawake hapa nchini,Kampeni hiyo inayoendeshwa na Hospitali ya CCBRT kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania kupitia taasisi yake ya Vodacom Foundation  inaendelea kufanyika katika mikoa mitatu kuwasisitiza wakina baba kuwaruhusu wakina… (0 comment)