WAKINAMAMA WA KIKUNDI CHA 2SEEDS WAJIKWAMUA KIMAENDELEO CHINI YA VODACOM TANZANIA FOUNDATION
    Wakinamama wa kikundi cha 2Seeds, wa  kijiji cha  Tabora Wilaya ya Korogwe Tanga,wakishirikiana na Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa  Vodacom  Tanzania Foundation,Sandra Oswald (wapili kulia) kumenya viazi  wakati alipotembelea kikundi hicho hivi karibuni kujionea maendeleo ya miradi  mbalimbali ya ujasiliamali,ufugaji, Kilimo,inayofanywa na kikundi hicho na kufadhiliwa na  mfuko wa kusaidia jamii”Vodacom Tanzania Foundation”… (1 comment)

NOGESHA UPENDO YA VODACOM YAJA NA TSH BILIONI 32 ZA M-PESA
Wakati wateja na wananchi mbalimbali wakiendelea kunufaika na promosheni ya Nogesha Upendo ya Vodacom katika kujishindia mamilioni ya fedha kila siku pindi wanunuapo vifurushi kwenye simu zao, sasa malipo ya faida ya kutumia M-Pesa ambayo yameanza wiki hii yanaufanya mwanzo wa mwaka mpya kuwa mzuri zaidi kwa mamilioni ya wateja na mawakala wa M-Pesa. Awamu… (0 comment)

VODACOM-WCB WALIVYONOGESHA UPENDO DAR-IRINGA
Wasanii wa muziki wa kundi la Navy Kenzo wakiwapagawisha mashabiki wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.   Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za  mashabiki wake… (0 comment)

NOGESHA UPENDO YA VODACOM YAENDELEZA UPENDO KWA WASHINDI 100 WALIOJINYAKULIA MIL 1 NA 182 LAKI 1 KILA MMOJA
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kushoto)akiongea jambo na mmoja wa washindi kati ya  100 waliojishindia kitita cha shilingi Milioni 1/-kila mmoja na 182 waliojishindia shilingi laki 1 kila mmoja  kupitia droo ya Promosheni ya”Nogesha Upendo” leo jijini Dar es Salaam inayowawesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia muda wa maongezi,Vifurushi vya intaneti pamoja na  fedha taslimu… (0 comment)

Zaidi ya wanawake 900 wajasiriamali wapigwa msasa
Kwa mafunzo ya kibiashara na huduma za kifedha kutoka Vodacom Tanzania,Technoserve, ExxonMobil Zaidi ya wanawake 900 wanaomiliki biashara ndogo ndogo wamehitimu mafunzo ya ujuzi wa biashara na huduma za kifedha kupitia mradi wa Business Women Connect (BWC) unaofadhiliwa na ExxonMobil Foundation na kutekelezwa kwa ushirikiano baina ya TechnoServe, Vodacom Tanzania, Benki ya Dunia (kitengo cha… (0 comment)

VODACOM NA TECNO WAWALETEA Phantom 6 na Tecno Phantom 6+ KWA BEI NAFUU
Kaimu Mkurugenzi wa  Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama (katikati) akionyesha moja ya simu za Tecno Phantom 6 na Tecno Phantom 6+ ,kwenye hafla ya  uzinduzi wa simu hizo uliofanywa kwa Ushirikiano wa Tecno Mobile Tanzania jijini Dar es Salaam leo Desemba 16,2016. Kushoto ni Afisa Mauzo Mwandamizi wa Tecno Mobile  Tanzania, William… (0 comment)

Vodacom Yawatengea Wateja Wake Bilioni 5/-
Kupitia promosheni ya Nogesha Upendo ·         Wateja 500 kujishindia milioni 1/-kila wiki ·         Wengine kuzawadiwa muda wa maongezi na vifurushi ·       Dar es Salaam Desemba 13, 2016:Wateja wa Vodacom Tanzania wameletewapromosheni mpya inayojulikana kama”Nogesha Upendo”ambayo itawawezesha wateja wake kujishindia zawadi ya fedha taslimu ,muda wa bure wa maongezi na MB za Interneti kila siku  katika… (0 comment)

VODACOM WADHAMINI TUZO ZA EATV
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, NandiMwiyombella(wapili kutoka kulia) akimkabidhi mwanamuziki Ali Kiba Tuzo ya Video bora ya mwaka 2016 katika hafla ya tuzo za EATV Afrika zilizofanyika jana usiku Mlimani City jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Moses Nnauye  ambaye alikuwa… (0 comment)

MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA IAN FERRAO AKABIDHI TUZO KWA WAFANYAKAZI BORA WA  KITENGO CHA BIASHARA WA KAMPUNI HIYO
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (kushoto) akimkabidhi ngao na cheti, Eunice Kahamba ambaye aliibuka mshindi katika tuzo ya Mauzo ya SYTYCS iliyoandaliwa na kitengo cha biashara (EBU ) cha kampuni hiyo, kwenye hafla ya kukabidhi zawadi jijini Dar es Salaam leo Desemba 9, 2016 Baadhi ya wafanyakazi wa kitengo cha biashara (EBU) cha… (0 comment)

VODACOM TANZANIA YAKABIDHI SIMU FEKI ZAIDI YA 500 ZILIZOKUSANYWA KUTOKA KWA WATEJA WAKE KWA AJILI YA KUTEKETEZWA
Mkuu wa Bidhaa wa Vodacom Tanzania, Samson Mwongela(kushoto)akisaidiwa na Meneja Uhusiano kampuni hiyo,Matina Nkurlu (katikati), kuonyesha simu feki zaidi ya 500 zilizokusanywa kutoka kwa wateja wao kwa ajili ya kuteketeza kama ilivyoagizwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), wakati  wa mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Gideon Chilambo ambaye ni … (0 comment)