WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA KATIKA HISA
Baadhi ya wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa wakisoma vipeperushi vinavuhusu uwekezaji na ununuzi wa hisa za Vodacom Tanzania PLC katika mafunzo yaliyofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki. Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Masuala ya Fedha  kutoka kampuni ya Orbit Securities Limited,Godfrey Gabriel, akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa juu ya… (0 comment)

Wanafunzi Wapigwa Msasa Wa Elimu Ya Usalama Barabarani.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Ushindi iliyopo mikocheni B jijini Dar es salaam, Wamepatiwa mafunzo maalum ya elimu ya Usalama barabarani na jeshi la polisi la Usalama barabarani kwa kushirikiana na Vodacom Tanzania PLC. Elimu hiyo imetolewa leo ikiwa ni mwendelezo wa jeshi hilo na Vodacom Tanzania kutoa elimu hiyo nchi nzima,Wanafunzi walipata fursa ya… (0 comment)

Vodacom yaongeza muda wa kuuza hisa
Vodacom yaongeza muda wa kuuza hisa   Dar es Salaam April 19, 2017: Akiongea jijini Dar es Salaam mapema leo,Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia alisema “Vodacom Tanzania PLC inatarajia kupokea maombi mengi ya kununua hisa katika kipindi cha wiki hii.Pia kutokana na ushauri kutoka Serikali ya Tanzania na  makundi… (0 comment)

Wateja zaidi kusajiliwa huduma ya  Lipa kwa M-Pesa nchini.
Kutokana na ongezeko la watumiaji wa huduma ya kifedha wa M-Pesa  unaotolewa na Vodacom Tanzania,Takwimu za TCRA zimeonyesha huduma hiyo inatumiwa na watu zaidi ya milioni 8,kampuni imejizatiti kusajili wateja zaidi katika huduma ya ‘Lipa kwa M-Pesa’ sehemu mbalimbali nchini. Akiongea na wakazi wa jiji la Mbeya wakati wa Uzinduzi wa duka jipya na promosheni… (0 comment)

WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAICHANGAMKIA SMART BOMBA YA VODACOM TANZANIA
 Mkazi wa Machava Kigamboni jijini Dar es Salaam,James John akipatiwa huduma ya kusajiliwa namba ya simu yake jana na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,Wakati wa  promosheni ya simu mpya aina ya Smart Bomba yenye matumizi ya lugha ya Kiswahili inayopatikana kwa shilingi 99,000/-tu iliyoambatanishwa na kifurushi chenye intanenti ya GB 10 za bure kwa kipindi cha… (0 comment)

MASHINDANO YA GOLF QUARTER 6,2016 LUGALO YAFIKA TAMATI CHINI YA VODACOM TANZANIA
Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania, kanda ya Kawe jijini Dar es Salaam,Straton Mchau(kushoto) akimkabidhi zawadi ya simu  mshindi wa jumla wa mashindano ya Golf  Quarter  6 ,2016, Hatibu Kisenkoro wakati  hafla fupi  iliyofanyika kwenye viwanja vya Golf Lugalo jijini Dar es Salaam,Iliyoandaliwa na Lugalo Breakfast Community Group  na kudhaminiwa na  Vodacom Tanzania.Katikati ni kaimu  Kapteni,Mada Margwe.… (0 comment)

Nogesha Upendo ya Vodacom Yafikia Tamati.
  Yaibua mamilionea 400 Promosheni ya ‘Nogesha Upendo’ iliyozinduliwa mwezi uliopita imemalizika leo ambapo imewawezesha  watumiaji  wengi wa mtandao huo kujishindia fedha taslimu na vifurushi vya muda wa maongezi na intanenti. Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu,amesema kuwa promosheni hiyo imekuwa na mafanikio makubwa na kufanikisha lengo lililokusudiwa na kuwapa watumiaji wa mtandao huo zawadi… (0 comment)