VITU 10 VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA  DIET
1. Set goals/Jiwekee Malengo Cha kwanza kabisa na cha muhimu sana kabla hujaanza diet ni kuweka malengo,tana malengo ambayo yako realistic usijidanganye kabisaa ,kama kuna malengo ambayo hayako realistic its likely diet haitafika popote.Jipangie jinsi ya kufanya diet hiyo kwa malengo uset kabisa vipi utafikia malengo yako.Planning is very important guys kuanzia milo yako ,mazoezi… (2 comments)

EAT & LIVE HEALTHY:SABABU NANE ZA KIAFYA ZA KWANINI ULE SANA SAMAKI
1.SAMAKI WANAPUNGUZA RISK YA KUPATA MAGONJWA YA MOYO  ILA USIMKAANGE CHEMSHA AU MCHOME2.SAMAKI WANAPUNGUZA PIA RISK YA KUPATA PROSTATE CANCER 3.SAMAKI NI WAZURI KWA WATOTO INASAIDIA BRAIN DEVELOPMENT 4.WANASAIDIA KUMAINTAIN UONAJI MZURI WA MACHO 5.SAMAKI WATAKUSAIDIA KUWA NA COMPLEXION NZURI YA NGOZI YAKO6.KUWA NA POSITIVE OUTLOOK NA KUPUNGUZA DEPRESSION NA NEGATIVITY7.SAMAKI WANA TASTE NZURI AWE… (0 comment)

NJIA SABA ZA KUKUSAIDIA KUACHA KUKOROMA (SNORING)
Na wewe ni mmoja wapo wa wanaokoroma wakilala???Asilimia 45% ya watu wazima inasemekana wanakoroma occasionally ,wengine hata mnawatania wenzenu wanaokoroma sio issue.Ila snoring ina BOAA ”Wale wa ndani ya ndoa huwa yaleta vijiproblems maana waweza usiweze kulala kabisa kama mwenzio anakoroma na wengine huwa wana hama hadi vyumba si mchezo . Sio tu kukoroma kuna… (2 comments)

#TBT :: UNA STRESS????VYAKULA HIVI  VITAKUSAIDIA KUPUNGUZA STRESS
Tucheki leo vyakula vinavyosaidia kupunguza stress ukiona stress zimezidi muone daktari just kidding ,stress zikizidi muone mshauri Kuna ile sms inazunguka kwa watu inasema STRESS NI PALE UNAPOKUTA MISSED CALL YA MANFONGO KWENYE SIMU YA MKEO  HAINAGA USHEMEJI TUNAKULAGA  SPINACHMAPARACHICHIALMONDS SALMONMILKGREEN TEAORANGESBLUEBERRIESDARK CHOKOLATEBROWN RICE Ukihitaji kujua zaidi soma HUMU ,EATINGWELL… (0 comment)

EAT AND LIVE HEALTHY:VITU KUMI VYA KULA KUPATA /KUWA  NA NGOZI NYORORO
KARIBUNI KWA KIJIWE CHA UREMBO TUKISHARE MAMBO MBALI MBALI YA UREMBO LEO TUJIFUNZE VITU KUMI AMBAVYO UKITUMIA UTAKUWA NA NGOZI NZURI NA NYORORO YENYE KUVUTIA. 1.GREEN TEA 2.Red bell peppers 3.DARK CHOCOLATE 4.COCONUT OIL HII WAPAKA MWILINI 5.PAPAI 6.SPINACH 7.CARROTS 8.CELERY9.SEEDS HIZI NI MBEGU MBALI MBALI WAWEZA WEKA KWENYE SALADS UKATAFUNA NA ZILIZO KWENYE MATUNDA… (0 comment)

TIPS ON HOW TO LOOK GOOD WITHOUT MAKEUP/ FANYA HIVI ILI USO WAKO UPENDEZE BILA MAKEUP
Some days mtu unataka kuwa makeup free laini lakini ukifikiria kuwa hutopendeza Bila makeup ndio tatizo. Unaweza kupata ngozi nzuri na laini na ukapendeza hata Bila makeup. Fata tips hizi zifuatazo:: 1.Tumia Tinted moisturizer with SPF. Badala ya kutumia foundation, tumia a tinted moisturizer with enough spf. Hii italinda ngozi yako na Kui hydrate na… (0 comment)

5 TIPS ZA KUA MIKONO SOFT.
Dry hands inaweza kuwa imesababishwa na vitu vingi, either baridi au hata kuwa hau-moisturize mikono vizuri ndio maana mikono yako inakua inakauka na hata kupasuka, unatokewa cracks. Ni ngumu sana kupata moisturizer ambayo itapenda ngozi yako na kukusaidia ngozi iwe laini, sio lazima kutumia hela nyingi kununua cream ambayo itaondoa hilo tatizo, unaweza pia kutumia… (0 comment)

Home made INFUSED WATER recipes
From sharing few tips like drinking infused water  that keeps my skin glowing and looking healthy, My beautiful readers have been eager to learn about how they could make their own at home and get that perfect glow and a healthy looking skin. i mentioned before that cucumber infused water is my favorite and the… (0 comment)