Daring
I love when fashionistaz try new things sometimes tunachoka styles zao,and when we see them change then we get excited kuona how items can be styled differently.… (0 comment)

Men’s Fashion :: Three Ways to style Scarves by Perfect Crispin
Men dont wear scarf often but ni accessories ambayo haina cha mwanamke wala mwanaume ,anyone can rock it,now Radio&Tv personality  Perfect crispin loves his printed scarves and rocks them so well in three ways One as a headband kama alivyofunga hapo kichwani. issa cool look Another way kaifunga kwenye mkanda wake so inakua ina ning’inia  and… (0 comment)

Ghana’s Biggest style night The Glitz Style Awards 2017
Hizi tuzo zilifanyika Tarehe 19 mwezi huu at the Movenpick Ambassador Hotel in Accra. these are the best dressed celebs  2nd Lady of the Republic of Ghana H.E Samira Bawumia she took home the honorary Award of Style Icon of the Year at the just ended @Glitzafrica style awards. Miss Ghana Queen @stephaniekarikari Joselyn_dumas ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Honorary Award: Glitz Africa… (0 comment)

Mwana Hip Hop wa Kike Chemical abadili Muonekano wake ,U sister do at its Best
Tunamjua mdada wa kuchana Chemical akiwa anafanya vyema kwenye muziki wa Hip Hop and kwa sasa amechukua karata ingine kabisa kwenye ulimwengu wa fashion na style. Baada ya kuvaa sana ki tomboy flani hivi now amechange ,anavaa more girly,heels ,lace wigs ,vigauni.which haikua style yake alikua anapenda sana jeans ,vest,mashati na sneakers . YES/No…? A… (0 comment)