Fahamu tofauti kati ya Mkopo Mzuri na Mkopo Mbaya
FAHAMU tofauti kati ya mkopo mzuri na mkopo mbaya. Mkopo mzuri ni ule unaoweka pesa mfukoni mwako—yani unautumia kufanya kitu ambacho kitalipa mkopo pamoja na riba yake halafu kikupe na faida juu.Mkopo mbaya ni ule unaochomoa pesa kutoka mfukoni mwako. Umechukua mkopo umeweka kwenye kitu ambacho kwanza sio cha msingi (hakikuingizii pesa) na bado unaingia… (0 comment)

Sababu ya Watu Wengi kushindwa ku save /kuwekeza
KINACHOSABABISHA wengi wetu kukosa hamasa ya kusave/kuwekeza ni ile hali ya kuiona safari hii kuwa ndefu sana na kufikiria pengine hata tunachokifanya kisije kutunufaisha sisi bali wale waliobaki. Na hii inaletwa na ule mtazamo wa kudhani kusave/kuwekeza ni kwa ajili ya maisha wakati wa “retirement” ambayo definition yake kwetu ni miaka 60. Sasa unaanza kujiuliza,… (0 comment)