I Stayed In A Bad Relationship For 3 Years/Nilikaa Kwenye Mahusiano Mabaya Kwa Miaka 3
“Nilikua katika mahusiano mabaya kwa miaka 3. Nilikua nashare mwanaume niliyekua naye na mtu mwingine. Alikuwa hapokei simu nikimpighia usiku, au ansema anafanyakazi hadi usiku sana. Ilikua ni miaka 3 ya kumfanya yeye ajisikie vizuri na kujiweka chini mimi. Nikawa najiambia kila siku kuwa labda nikijaribu zaidi naweza kuwa girlfriend mzuri, labda naweza kutengeneza mahusiano… (2 comments)

USHAURI KUNTU KWA MABINTI.
Leo shosti talk inawahusu mabinti, haswa wale ambao ndio wamemaliza vyuo au ndio wanaanza kujitafutia maisha. Ushauri/ujumbe huu unatoka straight kutoka 8020 forums, ambapo mama ushauri anakuelezea reality ya dunia ya leo, kuhusu hao wanaume wenye ndoa zao..soma zaidi uelimike. UKWELI MCHUNGU. Mume wa mtu anapotaka kulala na wewe au kutoka kimapenzi na wewe, atakwambia matatizo… (0 comment)

Ladies, Mnajua The One Thing A Man Wants From The Woman He Loves??
Topic ya leo ndio hiyo, short and clear. Ninachotaka kujua ni kama nyie mashosti mnajua what your man wants from you. Huyo boyfriend/fiance/mume wako anataka nini kutoka kwako? Kuna sehemu nimesoma na wamesema hivi:: Mapenzi, he can get love from anywhere, mwanamke yeyote anaweza akampenda, kama ni sex anaweza kulala na wanawake wengi tu, na… (0 comment)

LIZZ DAVID ANATUELEZA VITU 7 VYA KUJIFUNZA MSICHANA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA.
Wakati unapofika, kunakuwa na msukumo ambao humfanya msichana kutaka kuolewa, inawezekana ni umri , au ni matakwa ya mwili,  inabidi msichana atulie hapo  kabla hajaanza kutafuta mtu wa kuishi nae. sio tu mwanaume anaetafuta mtu wa kumuoa , na msichana nae pia hutafuta mtu wa kuolewa nae, labda utajiuliza kivipi. Kwa sababu huendi tu kuolewa… (0 comment)

Unaweza kubaki marafiki na Ex wako kama hawa couples waliosherekea kuachana kwa kupiga divorce selfie.
These couples wametrend sana kwa kupiga divorce selfie kusherekea kuachana kwao.. au niseme Ex couples maana they are all divorced. Hawa couples wote washerekea divorce zao kwa kupiga picha mara tu baada ya kutoka kusign divorce papers zao. Wanasema kuwa ni bora kuachana kwa upendo maana wakiachana na kubaki na vinyongo basi hakuna atakayefaidika kati… (0 comment)

USIFANANISHE VITU HIVI KUHUSU MAHUSIANO YAKO NA MAHUSIANO YA WATU WENGINE.
Kila mahusiano yapo tofauti kama kila ,mtu alivyo tofauti, na hakuna mahusiano yaliyokuwa perfect, haijalishi ni kwa kiasi gani watu hao wanapatana. Kila mtu ana mazuri na mabaya yake, na hivyo hutakiwi kufananisha mahusiano yako na mwenzako na mahusiano ya watu wengine. Mahusiano yao yaikuhusu. Basi leo nakuletea vitu vitano ambavyo hutakiwi kufananisha mahusiano yako… (0 comment)