Mmekua mkisoma tu madatofauti kuhusiana na mahusiano ndani ya shosti talk na wengine tunaendelea kujadili zaidi ndani ya 8020forums. Sasa ZezeTv imewaletea category mpya ya shosti talk ambapo Da Zeze mwenyewe atakua anaongelea mada tofauti, uwe mahusiano, ndoa, mahaba na mengine mtakayotaka aongelee. Subscribe na kuacha comment mada unazotaka aongelee. Mada ya leo ni hii:… (0 comment)

Mambo 5 Usifanye Unapokua Unadate Online By Lizz David.
Watu wengi wanakuwa woga wanapokuwa wanadate online, na wengine wanakuwa sio wa kweli . kwa sababu hio  nakuletea mambo matano ambayo ni muhimu kuzingatia wakati ukiwa online dating. 1.Usidanganye au kujikuza kwa mambo tofauti na jinsi ulivyo.  Usidanganye miaka , au tuseme umri. Au kuongezea  urefu wa kitu chochote, kama shingo,  au mshahara,  haina sababu.… (0 comment)

Mwanaume Kwenye Ndoa Na Wanawake Wawili.
Adam Lyons, 36, anaishi na wanna wake wawili. MmojA Brooke aliyezaa nae mtoto was kiume na mwingine Jane ambaye ana mimba yake ya miezi 8, na bado ana mtoto wa nje ya ndoa hiyo. Adam anasema kuwa ni rahisi zaidi kuwa wazazi 3 maana wanasaidiana majukumu ambayo mara nyingi huvunja ndoa. Leo kwenye shosti talk… (0 comment)

Are You Dating For Marriage?/Upo Kwenye Mahusiano Kwa Ajili Ya Ndoa?
Wadada/Mabinti kama bado hujaolewa then hii mada inakuhusu wewe. Wote tunafahamu kuwa kuna kipindi kinafika mwanamke unaingia kwenye mahusiano kwa lengo la kuolewa, na ni wachache sana ambao wanajiwekea malengo haya. Wengi kati ya mtakao kuwa mnasoma mada hii mpo katika mahusiano ambayo hayana mbele wala nyuma, ilimradi tu una mtu ambaye unamuita boyfriend wa… (0 comment)

Kwanini Mpenzi Wako Anakudanganya?
Uchunguzi unaoshangaza  juu ya udanganyifu kwenye mahusiano Steven alikuwa ni msimamizi wa stoo kubwa , mahali ambapo  mizigo ilikuwa inawekwa. Alikuwa ni mtu anayependa juice ya  parachichi.  Alisema kuwa amekuwa na tatizo la kutokosa kwenda kwenye  game, na hakutaka mke wake afahamu hilo,  aliogopa kuulizwa maswali mengi , na kwa uhakika hakutaka kumpoteza mke wake… (0 comment)

Uongo Uliopo Kwa Watu Single Kuhusu Mapenzi Baada Ya Miaka 40.
Single na kuchoka kuhusu hicho? Unafanyaje ili kubadilisha hii tabia . Kama wewe ni mwanamke single mwenye miaka 40, unayo historia yako tayari , nina uhakika umewahi kuwepo kwenye mausiano  kabla na unahitaji  kupata mahusiano mengine. Na kwa sababu  muhimu uliyonayo hujafanikiwa kupata  mtu  sahihi. Huenda ulipewa talaka, au ulifiwa au  ulikuwa kwenye mahusiano yasio… (0 comment)