Mahusiano : Inaumiza Kuwa Mwanamke Mwingine By Lizz David.
Kila mara nilikuwa nikikaa kiti cha nyuma,  Tungeweza kutumia sababu ya kuongea kuhusu hilo, lakini haikuwezekana. Nilifahamu ilikuwaje, Kitu kisichowezekana kisichoweza kuongeleka, kisichofikirika. Mistress. Ndio ilikuwa mimi. Nilikuwa na hisia nzuri , na nilitaka kuwa naye, na yeye alichukulia advantage. Lakini nitawezaje kumlaumu, wakati nilipokuwa najisikia hatia, lakini bado nilikuwepo naye. Nilipenda uwepo wake, sex,… (0 comment)

Kama Unataka Mahusiano Yako Yadumu Acha Kufanya Yafuatayo.
Acha kucheza na moyo wake. Mwanamme kwa mwanamke~ 1.Acha kufikiria  kuwa hayatadumu Ukiwa kwenye mahusiano fikiria kitu kimoja tu–fikiria kila kitu kipo vizuri. acha kusema sijui, sijui.  mara hatuna mabadiliko. acha kusema hamkupata nafasi ya kujuana. Kama ukiwa positive utamwambukiza na mwenza wako kuwa positive. hamtaweza kuharibu mahusiano yenu. Acha kuwa negative. 2.Acha kucheza game… (0 comment)

Tatizo Kwenye Mahusiano Ni Wewe Sio Kitu Kingine.
Yako wapi mahusiano yako mazuri? Unategemea kitu gani kwa mwenza wako, na mwenza wako anategemea kitu gani? Maswali haya nafahamu yatagusa kila mahali katika mahusiano ambayo yanahitaji ukamilifu,  wakati mtu  anapokaa kwa muda mrefu au kujaribu kutoka na mtu huyu mara mwingine  ni katika kutafuta  mahusiano mazuri, ya kudumu katika maisha yake. Atakupa furaha?  nitakuwa… (0 comment)

Utajuaje Kama Mahusiano Uliyonayo Yatadumu.
Dalili 8 zitakuonyesha kama upo kwenye mahusiano ya kudumu au hapana. Afya. Wote tunafikiria kuhusu hili. hasa kwa kadri tunavyoendelea kukua , tunatembelea madaktari, tunakula vizuri wakati mwingine. Tunatafuta dalili  na wakati mwingine matokeo yake  yanatuambia kuwa hali zetu sio nzuri. Lakini tunapofikiria afya,  tunafanya hivyo katika miili yetu tu. mara nyingi tunasahau kufikiria kuhusu… (0 comment)

JISAIDIE MWENYEWE , CHUKUA HATUA UNAPOONA MAPENZI YAMEKWISHA
Mbinu za kukusaidia unapotengana na mtu au unapotaka kutengeneza upya mapenzi yenu. Mnapokutana na mtu na mnapendana, wote mnaona kama mmegusa nyota moja, kwa muda kidogo, mnakuwa mnatembea hewani. Mara mambo yanabadilika. Inaweza yakawa yanatoka ndani ya mtu au yakawa yanatoka nje ya mtu. Na yanayotoka nje mara nyingi hayawezi kukaa hewani yataanguka. Lakini yanayotoka… (1 comment)

Kwa Nini Unaendelea Kuvutia Mwanaume, Mwanamke Tofauti Na Mahitaji Yako.
Unaweza ukawa unafanya kila kitu kizuri , unatumia mbinu zote ili kumpata mtu sahihi ambaye umekuwa ukifikiria, ukiota kila siku lakini usimpate  Sio kosa lako , kipindi bado hakijafika, hujawa tayari, unachotakiwa kufanya ni kujiandaa kikamilifu. watu wengi wanaweza kujitokeza lakini sio wale ambao unawataka. Swali limekuja, na mimi nimeona vema tufahamu wote ambao tupo… (0 comment)

Hii Ndio Sababu Inawafanya Baadhi Ya Watu Kuendelea Kushirikiana Na Exes Wao
Bado umeshikilia mahusiano na mtu ulieachana? Sababu inaweza kuwa inatokana na tabia na hisia za kipekee za mmoja wapo. Hutapata urahisi wa kupata mapenzi mapya  kwenye mahusiano mengine. Lakini kuna wenza ambao huamua kuishi pamoja  hata kama kuna tofauti  kati yao.Kutokana na tabia na utofauti wao , au kwa sababu ya kulinda heshima ya watoto,… (0 comment)