#TBT :: Moro Sec na Pozi la Kris Kros
Leo da Shamim katupia TBT yake enzi hizo akiwa Moro Sec na pozi maarufu la Kris kros akiwakakumbushia Da Chaba. RAP #tbt Hahahaha nakumbuka mpiga picha alikua anaitwa Msigwa ( hivi bado yuko huko morogoro mwambieni alijua kutufyekelea mbalii😊) , alikua anakuja ana kofia zake iyo ya RAP na ingine iliandikwa DUDE maalum kwa kupigia… (0 comment)

Pata Details zote za Muonekano wa Shamim Mwasha
Pata all the details za huu muonekano wa da Shamim Maana alinoga hatareee,coach kafanya mambo mpaka tunachomekea sasa ,kupungua raha sana GAME OVER 👚 . JUST BECAUSE SHE IS DOESN’T MEAN I’M NOT . Oh Yes leo nakuacha na muonekano wangu #patamuonekano #slogantee & #shades😎 @koodawaatakupa muongozo 👖#highwastedjeanswaone wakali wa jeans mujini @hussein_pambakali Cc @mama__mt #capeblazer @mimizcollection #shoes by @shoe_ville . #stylist @mgece__cici__designs  Unataka sikia… (0 comment)

Vivazi vyote Alivyovaa Shamim Mwasha akiwa Nairobi na wapi pa Kuvi Shop ,Slow Mo tumeielewa
So last weekend Da Shami alikua Nairobi akiwa kaenda kwenye Director Seminar ya oriflame ,mengi yalitokea na aliweza kwenda live akapost mambo kibao insta ,but leo naomba ku focus kwenye mionekano yake yote kuanzia anaenda alichovaa mpaka kurudi.Huku tukisubiri experience yake ya huko ambayo ata andika mwenyewe. Nguo nyingi alizovaa zilikua na touches za Vitenge… (0 comment)

Issa Trend ::: The New It Hair Style
Are these fashionistas telling us tubadilishe hair style zetu tuhamie kunyoa na haka ka way tuweke ,waweza kuweka color pia .The hair do is just so chic naona wote walonyoa hivi wamependeza isije kua wana damu nzuri mnajuaga ile unapendeza mtu anasema unadamu ya nguo kumbe umefanya outfit planning ndo hii sasa wamenoga. Da Shamim… (0 comment)

MY EXPERINCE IN MIAMI #travelwithoriflame
Yes Niilikuwa MIAMI , Florida mwezi January ambako nilienda kwa Hisani ya ORIFLAME  #TRAVELwithOrilame , mie ni mwanachama wa Oriflame na nilipata tiketi iyo toka kwa MY Diamond Director Jessica Nisege Mwakyulu ambaye ndo hasa alinirecruit mimi na kunipa challenge  ya kupata tiketi iwapo tu nitafikia Senior Manager level…. na i made it. kama ilivyo… (0 comment)

ORIFLAME #TEAMNOVAGE BRUNCH AT HYATT
MIMI ni mwanachama wa oriflame na nimeingia kwa hii biashara nina miezi 7 kazini , nashukuru nimekuwa nakua siku hadi siku Mwanzoni mwa mwezi huu mimi na team yangu ya TEAMNOVAGE ambapo mimi ni SENIOR MANAGER na mwezi huu natawazwa kuwa DIRECTOR  na kampuni ya ORIFLAME ambapo nini ni mwanachama , wa kampuni hii iuzayo… (0 comment)