Sababu ya Watu Wengi kushindwa ku save /kuwekeza
KINACHOSABABISHA wengi wetu kukosa hamasa ya kusave/kuwekeza ni ile hali ya kuiona safari hii kuwa ndefu sana na kufikiria pengine hata tunachokifanya kisije kutunufaisha sisi bali wale waliobaki. Na hii inaletwa na ule mtazamo wa kudhani kusave/kuwekeza ni kwa ajili ya maisha wakati wa “retirement” ambayo definition yake kwetu ni miaka 60. Sasa unaanza kujiuliza,… (0 comment)

Jinsi Ya Kuishi Kwa Bajeti and Still Have Some Fun!By Godlisten Katunzi
Kwanza kabisa swala la kuishi kwa bajeti huwa ni gumu na wakati mwingine unaweza kuanza na yakakushinda na ukaamua kuacha. Ila kitu kimoja ambacho unaweza kufanya, ni kujifunza jinsi ya kutengeneza bajeti na kuishi kwa bajeti na bado maisha yakawa sawa. Inaweza kuwa ngumu hasa kama ndio umetoka chuo au ndio unaanza kazi, unaweza kuwa… (0 comment)