THE COUPE WE LOVE VANESAMDEE AND JUMA JUX
Vanessa Mdee and Jux n couple inayopendwa kwa sasa na wengi wakiwa wanawafatilia ,interest yangu ni sare sare ya hizi African Boy t shirts and cape walovaa zikiwa sare na ni Brand pia ya Juma Jux . Vanessa Mdee rocked the cape and t shirts very simple with just her straight hair and lots of… (1 comment)

WHO WORE THE DENIM JUMPSUIT BETTER::KENDALL JENNER VS GIGI HADID
Kendall Jenner na Gigi Hadid wanashare fact moja kuwa wote ni ma model wenye umri mdogo na mafanikio makubwa tu,pia ni marafiki wazuri sana ,sasa hata uvaaji sometimes wanaweza kuwa na taste moja wanayopenda.Alianza Kendall kutinga this denim Jumpsuit in blue GIGI HADID Gigi jumspuit yake ni nyeupe  sijui creme hivi,nae alivaa na boots nyeusi… (0 comment)