SARE SARE ::: Aunty Ezekiel na Binti yake Cookie
Aunty anapenda sana nguo nyeusi,but did you know kwamba nguo nyeuzi zinakuafanya uonekana kidogo mwembamba???sijui this was the idea behind all her black outfits au ilitokea tu kwamba black ni rahisi kuvaa usiku au kwenye sherehe yoyote,you can never go wrong with black. Her and daughter cookie are the perfect mother daughter in their tutu… (0 comment)

The Two Stylish Bongo Fashionistaz,Swalha and Jokate Rocking The Same Dress,who wore it better????
When two stylish people have their eyes on the same dress Its Swalha and Jokate Mwegelo in their sleeveless nude full dress the dress is cute,more girly and fun tuona who styled how  Hii ilikuwa the first dress kwa Swalha on her workshop ilofanyika Jumamosi she wore the dress with just black pumps Jokate Mwegelo… (0 comment)

BFF (BEST FEMALE FRIEND )COORDINATED LOOKS
How cool when two friends love fashion and they love to play dress up in matchy matchy looks???its always fun. Simply Palesa and Crystal Casper ni marafiki ambao wanapenda fashion,na huwa they style their looks sare sare flani hivi sometimes wanakula na madili ya kuwa brands ambassadors kwa sababu ya style yao ya ku dress… (0 comment)

BEST FRIENDS WHO DRESS TOGETHER
Crystal na Palesa ni friends na huwa wana play dress up together tena sare sare ni kwakuwa wote wawili ni ambassoadors wa staylista brand moja huko S.A. stylish look in blue love how wamevaa sare but kila mmoja kavaa kivyake na details zake same here Palesa hapa kaongeza a gold belt cute denim tops  Wakivaa… (0 comment)