Nasreen Kareem and Jacqueline Mengi attends International Dubai Fashion Week
Warembo na walimbwende walioiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Miss World Nasreen Kareem 2008  na  Jacqueline Mengi 2000 ,wawe attend International Dubai Fashion Week . Wame share what they wore there Lover her blazer dress which she paired with these cute pompom sandals and a black necklace from enjipai i don’t know kama this outfit alivaa… (0 comment)

Look Of the Day
Lavido is so stylish ,she tandika on her insta page kwamba Awake.Blessed.Grateful…….. “You will never be stylish if you don’t take risks”…I just did 🙂 how stylish is she??? Kavaa a striped shirt na hako ka dress ,vimeendana sana pamoja   … (0 comment)

5 Sister Friends Jacqueline,Nancy,Sophia,Nasreen and Faraja Nyalandu on ways they Style their Jeans
#Issa Weekend guys ,leo ni FURAHI DAYYYYYYYY Now for this weekend tucheki how hawa wadada watano marafiki ambao wana inspire watu wengi wanavyo style jeans zao ,let it be skinny jeans /boyfriend jeans or mumy jeans. slogan tee Sophia Byanaku rocking a hear me roar tee and white skinny jeans  here she switched to black… (0 comment)

Vitu vya kuzingatia Kuvaa Kipindi hiki cha Mvua
Its raining nahisi sehemu nyingi nchini ,but jamani ukweli ni kwamba Dar pakinyesha mvua unatamani sijui ukae tu ndani usitoke,sio baridi kama la Arusha but pana boa sana,tusiongelee mitaro ilozima wala foleni. Now naomba kuwa ideas ya vitu vichache ambavyo unahitaji kipindi hiki cha mvua wear cropped pants,yes kama unafanya kazi kiofisi zaidi basi jitahidi… (0 comment)