‘She’s here’: Kim Kardashian and Kanye West welcome  Baby Girl
Hongera nyingi kwa power couple Kim and Kanye West ambao wametangaza ujio wa mtoto wao wa 3 ambaye wamempata via surrogate. Kim alitangaza good news hizi kupitia kwenye mtandao wake wa www.kimkardashianwest.com ,akielezea furaha yake alisema wamepata beautiful healthy baby girl . January 15, 2018 12:47am 7lbs 6oz Kanye and I are happy to announce… (0 comment)

Kim Kardashian Achambwa baada ya Kumvalisha North Gauni Lenye urembo wa Corset
Kim amekua criticised sana wiki hii ,akiwa anasemwa kua Beyonce amekataa zawadi zake za watoto akawapa ma nurse walomsaidia kwenye kujifungua ,then akaonekana kama kama anatumia cocaine kwenye selfie moja alopiga akajibu ilikua ni sukari . Jana kaamkia vichambo instagram na tweeter baada ya watu kumsema kua anamvalisha mwanae kama mtu mzima,na kwanini mtoto mdogo… (0 comment)

Kim Kardashian First Public apperance Baada ya Kujifungua baby Saint.
Kim naona katoka sasa kashakaa nyumbani tangu December baada ya kujifungua his son Saint.Alitoka shortly kwenye Xmas japo ilikuwa nyumbani kwa mama yake So haikuwa like an official Out and About. Kilichomtoa ni kwenda na wanae North na Saint kumsuport Kanye Kwenye listening party aki launch Album yake inayo enda kwa jina la T.L.O.P. I… (0 comment)