Meghan Markle Attend ‘Your Commonwealth’ Youth Challenge Reception in a yellow dress by Brandon Maxwell
Meghan Markle alipendeza sana with her Brandon Maxwell dress at the  ‘Your Commonwealth’ Youth Challenge Reception. Meghan, Duchess of Sussex attends the Your Commonwealth Youth Challenge reception at Marlborough House       Prince Harry, Duke of Sussex and Meghan, Duchess of Sussex arrive to meet youngsters from across the Commonwealth as they attend the Your… (0 comment)

TRAVELLING STYLE ::HUWA WAVAA NINI UKISAFIRI?
HII ISSUE YA NINI CHA KUVAA WAKATI WA KUFASIRI NMEIFIKIRIA MUDA  NKASEMA HATAA NGOJA NIIANDIKIE ,  MAANA UNASAFIRI UNAONA WATU WALIVYOJIKOKI WAKATI WANASAFIRI NA NI MKOA MMOJA TU KWENDA MWINGINE ILA MTU KAMA ANAENDA SIJUI WAPI MTU KWANZA KABANWA BALAA KUJIREMBA SASA NI SHIIDA SISEMI MSIJIREMBE ILA LIGHT MAKE UP INATOSHA JAMANI.MTU NA MAHEELS HATA… (0 comment)

That time when Jacqueline Mengi was Feeling Blue
Madam Jacqueline Mengi is giving us  blue envy lately akiwa na vivazi vyenye hints za blue color . Blue  is often associated with depth and stability. It symbolizes trust, loyalty, wisdom, confidence, intelligence, faith, truth, and heaven for this day ,she went to Temeke primary school akienda cheki project anayotaka kuanzisha ya kuijengea shule hiyo Maktaba… (0 comment)

Saturday Night Styles With Kristin
For the night styles since ni Saturday night tupo na fashionista with curves Kristin ana a very good sense of style,na holidays zinakarabia waweza basi pata hata inspo on what to wear on friday night kutegemea tu waenda wapi sequins high slits latex mini skirt elegant jumpsuit crop top love… (0 comment)