NATURALISTA:CYNTHIA
NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE. HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU SIDE AND DO VITUPIO KAMA HEAD SCARFS ZAHUSIKA PIA FRO    LOVE THE BIG HAIR DON’T CARE  CREDIT:SIMPLCAN… (0 comment)

NATURAL HAIR STYLE: 7 DAYS 7STYLES
HAYA KWA WALE WENZETU MANATURALISTAZ PATA STYLE HIZI ZA WIKI NZIMA ZA NYWELE ZAKO.SAA NYINGINE UNACHOKA KUSTYLE STYLE MOJA TU SO TUMEWALETEA STYLE TOFAUTI UTAKAZOWEZA KUSTYLE KWA SIKU SABA. SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA MAFUTA. SIKU YA PILI UNACHANA KAMA SIKU YA KWANZA ILA TU UNACHANA WAY YAKO KIASI WAY… (1 comment)