Kheris Roggers aka kherispoppin ni binti wa miaka 10 ambaye alikua bullied na kutaniwa sana sababu ya ngozi yake kua nyeusi ,lakini ameji empower na kuamua kuifanya rangi ya ngozi yake kua brand yake. Aliandika hair stylist wake @kherispoppin was teased about her dark beautiful complexion. She turned tears into empowerment and her dark skin into a brand.…
NI NATURALISTA NA FASHIONISTA NA TWAWALETEA MITINDO MBALI MBALI AMABYO HUWA ANASTYLE NYWELE ZAKE. HII WANAIITA UP DO KIJINJA CHABANWA KUELEKEA JUU SIDE AND DO VITUPIO KAMA HEAD SCARFS ZAHUSIKA PIA FRO LOVE THE BIG HAIR DON’T CARE CREDIT:SIMPLCAN…
Abee Natural loves natural hair na amekua akitoa elimu mbalimbali kuhusu nywele za natural jinsi ya kuzitunza ,mafuta ya kutumia ,style ideas kwa you tube channel yake. Kwa sasa unaweza kufanya consultation ya kukutana nae pale dahliathebeautylounge Mfollow kwa instagram yake kuona mengi zaidi @abeenaturals au ☎️+255754712421 For Valentines day anauliza how will you dress your crown???akitoa pia…
Moja ya warembo ambao wamekubali nywele zao ,na ni hard ku keep up na natural hair ambazo ni ndefu maana kuna zile fupi za kunyoa au kuchana ila hizi unabana mmhh kazi ,zinahitaji uvumilivu but inawezekana ,Irene Paul kaweza na uzuri anatoa hadi tips kwenye insta page yake IrenePaul. so beautiful nywele zilitengenezwa na Cutelooksdar …
I loved the fact kwamba Miss Jamaica alikwenda Miss Universe with her Afro ,na watu wakamuelewa sana tu .With this she took natural hair on to the next level. “I did not win but I got what I was seeking,” she wrote on Instagramfollowing the competition, “I stand as the first Afro queen to have made…
Leo na share na wewe jinsi ya kutengeneza nywele zako na Eco gel ,on bad hair days eco gel inaweza kukusaidia ku weka nywele zako in shape and style kwa muda mrefu. kwa mwenye swali please leave your questions kwenye comment section below.…
Mara nyingi majarida ya nje yamekua yakiingia kwenye shutuma za ubaguzi kwa ku photoshop baadhi ya ma celebrity kutoka kwenye mionekano yao halisi hadi kwenye ambayo wanaona itauzika.Mfano Ashley Graham ambaye kwenye jarida la vogue walifanya awe na tumbo flat na mapaja madogo wakati kwenye original picture haikua hivyo. kama hapa ilibidi wazidishe mkono mmoja…
Yeah leo tupo na Naturalista and fashion blogger Cinosanda Sandele,huyu ni mu Angola anaishi Netherlands ,anaongea kireno ambacho nimesoma pale chuo cha Diplomaisia ,najua jua kidogo havinishindi.But me napenda hair style yake ana natural hair zile laini na pia she has ana amazing style ambayo ina m suit mtu yoyote. she is gorgeous when the streets…
Jacqueline Mengi huwa hastick na one hair style mara nyingi anakua kanyoa then utamkuta na wigs .But this time around naona kama amekaa sana with her natural hair and she went super blonde mwezi ulopita . Blonde inampendeza it goes well with her skin tone ,na uzuri hana kipilipili so kama singa flani hivi ,which…
Hii video nimeiona instagram kwenye page ya teamnatural Its real nice unaona jinsi natural hair unavyoweza ku play nazo na kua na mitindo kibao kichwani …