LEO NIKURUDISHE NYUMA ,NIKISEMA ALIKUWA KATIKA MOVIE YA SARAFINA ITASEMA NAMFAHAMU,HAPA YUPO KICOMEDY AKIWAFUNDISHA MASISTER KUIMBA……NA KUJUA KUA YEYE SIO SISTER (UNDERCOVER) NA KUBADILISHA HALI HALISI NA KUONGEZA WAAUMINI KWA SWAGAA MATATA……..…
…
Hapa kwetu tunasema epuka mchepuko,hapa kwa movie ndipo wadada walipojiunga na kumweka sawa mr. ambaye alikutana nao wote katika ofisi na kumshangaza kwa kumfilisi mali zote hiyo akiongoza mke wakw>>>>>>>>>…
Kwa haraka haraka unaweza tafsiri kitu cha mitutu ya bunduki ndani ya movie hii,ila hapa na ndugu wawili wanaofanya kazi ya upelelezi na kugongana kwa penzi la dada mmoja kisha kupambana nani atakaye win moyo wake hapo chacha…..ni action,comedy…