Congrats Miriam Odemba on Becoming the Face of Blackup
From the Face of Africa to the World ,yes our very own Miriam Odemba,she never age,always beautiful and elegant,hachujiii. Hongera nyingi kwa Miriam sababu anatuwakilisha huko duniani kupitia Modelling ,she has always made us proud ,Sasa amekua kisura wa Blackup ambayo ni kampuni ya urembo ya kwanza ya kifaransa ambayo imejikita zaidi kwenye women of… (0 comment)

Julitha Kabete Been Serving us Some Serious Looks on IG
Julitha Kabete Miss World Tanzania 2017,Model ,content creator anaishi South Africa,and siku zote anakuaga na killer styles. But ameanza mwaka vyema since her looks za mwaka huu japo hii ni February you can see how she is going. Anafanya collabo na kampuni kibao kama Fashionnova,Divamodafashioncouture, Dona Matoshi ,Miss Lola etc These are our favorite looks… (0 comment)

Miriam Odemba Agusia carrier yake,Kimbia na Miriam na mengine mengi kwenye Mahojiano na World Moms Network
We all know know Miriam Odemba and we appreciate her,mbali na sisi hata wenzetu wengine wanampenda na kukubali sana anachokifanya.Amefanya mahojiano na  World Moms Network ambao ni mtandao mkubwa unaogusa nyanja za malezi , culture, human rights and social good,mtandao ambao una contributors zaidi ya 60 kutoka nchi zaidi ya 30 duniani kote. Kwenye mahojiano yake Miriam… (0 comment)

Q&A With Model and Miss World Tanzania ‘17 Julitha Kabete on being a #NovaBabe
Model Julitha Kabete ambaye anafanya kazi na Modelling Ageny ya 20 model management ya huko South Africa pia ndiye aliyetuwakilisha kwenye mashindano ya Miss World mwaka 2017,pia kwenya Miss Africa Tanzania ‘16 yaliyofanyika kule Nigeria. Tumekua tunaona akiwa ana post picha zake instagram akiweka # ya #novababe ambayo inatumiwa na influencers ambao wanafanya kazi na kampuni ya… (0 comment)

Zurich Street Style Yamnasa Our Very Own Miriam Odemba
Kwa huku kwetu Miriam Odembe ni mwanamitindo ambaye wengi tunamuangalia na kutu inspire ni legend kwenye tasnia ya uanamitindo,tangu miaka hiyo tunamuona kwenye tangazo la Revola hadi sasa yani ule msemo wa Black don’t crack ni proof kwa huyu mrembo,she is our pride and joy. Amejua kuitangaza vyema tasnia ya mitindo na kuipeperusha vyema bendera… (0 comment)

Hongera Herieth Paul kwa Kuchaguliwa kwenye Victoria Secret show 2017 for second time
We are proud sababu anawakilisha Tanzania,our very own model Herieth Paul Ni mmoja kati ya models 50 nafikiri ambao wamechaguliwa kua katika Victoria Secret Show mwaka hii 2017 ,hii ni dream come true kwa models wengi. Mwaka huu itakua ni mara ya pili mwaka jana she was a newbie kama wanavyowaita wenyewe. Major congrats kwako… (0 comment)

Maria Borges Is the New Face of L’Oréal ,Major Beauty Gig
“I believe in the beauty of diversity.” Maria’s powerful words  Maria Borges ni Model toka Angola ,amekua ni regular on the Victoria’s Secret Runway na ndo model wa kwanza ku rock natural hair kwenye runway hizo kubwa ulimwenguni mwaka 2015. Ameshawahi kumodel for big designers kama Chanel,Balmain ,Givenchy na wengine . Amekua model tangu mwaka… (0 comment)