Mwaka Mpya na Mshono Mpya Unaopendwa Sasa
Good Morning ,post ya kwanza ya Mishono kwa mwaka 2019,tunacheki this cutest mshono ambao umevaliwa sana na Warembo especially bloggers mbalimbali maarufu,why???sababu mzuri ,uko simple na una mix vitenge viwili tofauti ila vilivyo pangwa kwa ustadi mkubwa. Kuna vitenge hivi siku hizi vya two in one ambavyo viko tofauti but vinaendana ,ukikipata mshono huu utaupenda.… (0 comment)

Ukundi “3 in 1” dress available at KATTY Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids. Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)

MISHONO KONKI SANAA HIIII
Good Morning Issa Choose day,tucheki Mishono konki hatariii kwa ajili yako,waweza comment chini mshono upi umekumbamba na unaweza kuudesa ukashonewa na fundi wako. Mshoni konki kabisa wa wedding guest  this color though omg  mnaopenda makshkash huu unawafaaa mixed fabricsunaweza ku attach au kukitoa hiko cha kiunoni   green with envy navy blue and black amazing… (0 comment)

Vimshono mbalimbali vya Warembo wa Bongo toka Weekend
Issa Choose day na tunachagua Mishono toka kwa warembo wetu wa hapa hapa Bongo,tuwapumzishe kidogo wa naija . Vimshono mshono vizuri vya kudesa unavipata hapa. Dina Marious in Maznattailoring  love the color and details kwenye hiki kitenge  Nandy aka the African princess rocking hers from her own collection  nimependa sana mikono vingine nakuachia  That short… (0 comment)

JIDAMSHISHE NA MISHONO
Mishono ya leo very hot ,from mettalics,to lace to vitenge ,wewe tu uanchagua kipi unapenda ,una desa waenda kudamshi nacho. OMG  Yellow baby melanin goddess pre wedding outfit ideas love kitenge with a modern twist… (0 comment)

Hii Mishono Jikaze tu si Kwa Ubaya
Morning leo tuna dedicate WCW kwa wanawake wote wanapeenda mishono,na wana shona pia nguo.Kama we ni mdau wa siku zote karibu,kama ndo first time unaona segment ya Mishono karibu iko mingi ,nenda kwenye search andika Mishono itakua ya kutosha. chocolate babe the back same kitambaa mshono tofauti  chocolate and gold bell sleeves na sina habari… (0 comment)