Mwaka Mpya na Mshono Mpya Unaopendwa Sasa
Good Morning ,post ya kwanza ya Mishono kwa mwaka 2019,tunacheki this cutest mshono ambao umevaliwa sana na Warembo especially bloggers mbalimbali maarufu,why???sababu mzuri ,uko simple na una mix vitenge viwili tofauti ila vilivyo pangwa kwa ustadi mkubwa. Kuna vitenge hivi siku hizi vya two in one ambavyo viko tofauti but vinaendana ,ukikipata mshono huu utaupenda.… (0 comment)

Ukundi “3 in 1” dress available at KATTY Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids. Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)

MISHONO KONKI SANAA HIIII
Good Morning Issa Choose day,tucheki Mishono konki hatariii kwa ajili yako,waweza comment chini mshono upi umekumbamba na unaweza kuudesa ukashonewa na fundi wako. Mshoni konki kabisa wa wedding guest  this color though omg  mnaopenda makshkash huu unawafaaa mixed fabricsunaweza ku attach au kukitoa hiko cha kiunoni   green with envy navy blue and black amazing… (0 comment)

The Iconic Over sized Hats Trending Now
The Royals are know for their fascinators but now common and iconic people are rocking them so well we have forgotten the royals .We have seen these wide brim hats/fascinators from Beyonce to Card B to other fashionistas who are not afraid to make that statement. One question are these the new IT THING???? YES… (0 comment)