Mshono El Clasico from Nomzamo Mbatha
Nomzamo Mbatha ni mrembo kutoka kwa Madiba akiwa ni ctress, television personality, businesswoman and human rights activist. She is only 28 years old doing big things,juzi kati alipewa tuzo as  a Rising Star Honoree at the #WashGala chini ya kamati ya FaceAfrica. Alivaa a kitenge dress from queenecollection.… (0 comment)

Mshono Amazing kwa Siku ya Wanawake Duniani
Mwezi huu ndo hua tunakua na sherehe ile ya siku ya wanawake duniani , International Women’s Day na hasa ikiwa imekuja na kauli mbiu ya The International Women’s Day 2019 campaign theme of #BalanceforBetter is a call-to-action for driving gender balance across the world. How will you help make a difference? Mshono huu ni kwa wanaipenda heka… (0 comment)

Mwaka Mpya na Mshono Mpya Unaopendwa Sasa
Good Morning ,post ya kwanza ya Mishono kwa mwaka 2019,tunacheki this cutest mshono ambao umevaliwa sana na Warembo especially bloggers mbalimbali maarufu,why???sababu mzuri ,uko simple na una mix vitenge viwili tofauti ila vilivyo pangwa kwa ustadi mkubwa. Kuna vitenge hivi siku hizi vya two in one ambavyo viko tofauti but vinaendana ,ukikipata mshono huu utaupenda.… (0 comment)

Ukundi “3 in 1” dress available at KATTY Collection
Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine nyingi. Pia Ni wataalam was kushona nguo za wote, men, women and kids. Wanapatikana Mikocheni, Mwai Kibaki Rd. (Behind Master Club) Wafollow Instagram: @kattycollection  Open :Monday – Saturday8:00AM -7:00PM Mobile +255 757… (0 comment)