IDRIS SULTAN IS ROCKING A  TURBAN,THOUGHTS???
Turban are for Men and Women ,na wanaume kama wa kiislam au wa kihindi huwa wanavaa vilemba vile Turban ni kwa kingereza so hata zile kofia juu wamezungushia kitambaa those are Turbans.May be kwa Waislam au wahindi wao watu hawashangai wakivaa kama wanavyoshangaa mtu kama Idris kufunga a Turban. He is rocking a Turban with a… (0 comment)

MONDAY STYLE CRUSH FROM DAVTO
Davto ni moja ya stylish Men ambao bongo tumebarikiwa from his street styles utagundua ni Mkaka mtanashati anaejipenda na anapenda sana Fashion. We love the new photos from him nafikiri ni kwa ajili ya promo ya kuombea kura za swahili fashion week either way we love ur style. Dressinf down in shorts short ,a shirt… (0 comment)