Beauty Bulletin ::Nargis Mohamed na Glammadam wanakuja na mafunzo ya Urembo kwa Elf 10 tu
So mrembo Nargis Mohamed na Make up artist  Nafue akijulikana sana kama Glammadam wanakuletea good news kwa wale wanaopenda makeup,either kwa ajili ya kujiajiri na kujikwambua kiuchumi au kwa kujipendezesha wenyewe. Mafunzo hayo yatakuwa online kupitia www.glammadamlive.com,na mafunzo haya waka hayata angalia jinsia ni wanaume kwa wanawake . “Mafunzo hayo hayachagui jinsia, nia yeti kubwa… (0 comment)

YOUR BEST BEAUTY BRANDS AVAILABLE AT SN COSMETICS.
FALL IN LOVE WITH THEIR SELECTED BRANDED ORIGINAL COSMETICS ? FROM USA, CANADA, SWEDEN, GERMAN & UK  KIJIWE CHA UREMBO AMBAKO UTAPATA VIPODOZI AINA ZOOOTE ZA UREMBO KUANZIA MAKE UP /MAFUTA YA NGOZI / NYWELE  KUTOKA SWEDEN /MAREKANI NA UJERUMANI HIVI SASA WANA MZIGO MPYA WANAPATIKANA :: MWENGE KITUO CHA ITV NA PEMBENI YA NAKIETE PHARMACY NA… (0 comment)

BEAUTY PRODUCTS AMBAZO HUTAKIWI KU-SHARE EVER.
We love makeup and our best is pia love makeup Lakini kuna somethings tunashauriwa kuwa haifai ku-share, because mnaweza kuambukizana magonjwa,kuhamishiana bacteria nk. Ndio maana mtu unajikuta unapata machunusi yasiyopona kisa ku-share. So ladies hivi Ni vitu ambamvyo hutakiwi ku-share na mtu yoyote hats bestie wako.. 1.Any beauty products that comes in a jar. 2.Mascara.… (0 comment)

GIFT VOUCHERS FOR EID-EL-FITR KUTOKA SHEAR ILLUSIONS.
Katika kipindi hiki cha mfungo, ikiwa watu wanafikiria matendo mema ya kufanya ili kupata thawabu na kujenga upendo baina yao, sisi ndani ya Shear illusions tunahisi kuwa karibu nawe ktk hilo. Ndio maana tumekuandalia Zawadi maalum kwa ajili ya mwanamke umpendaye. Anaweza kuwa mke, mama, bibi, shangazi, mamdogo, binam, dada, mfanyakazi mwenzio au wa kwako,… (0 comment)

GET YOUR MAKEUP BRUSHES FROM H BY HEAVEN.
WANAPATIKANA :: DAR FREE MARKET SHOP NO.63, GROUND FLOOR CALL/WHATSAPP :: +255762890000 INSTAGRAM :: @HEAVENTZ Je wajua kuwa muonekano mzuri wa makeup yako unaanzia kwenye vifaa bora vya mpambaji?? H by Heaven makeup brush set ni aina ya brush zenye viwango vya hali ya juu kabisa zinazofanikisha kukupa muonekano mzuri wa makeup yako siku nzima.… (0 comment)

HERE IS WHAT YOU ARE MISSING FROM BONGO UZURI BLOG.
INGIA www.bongouzuri.com kupata tips na kila unachohitaji kujua kuhusu urembo INSTAGRAM :: @BONGOUZURI MATUMIZI YA CASTOR OIL KWA NYWELE, NGOZI NA AFYA USIYOYAJUA. FACIAL FRIDAY :: KWA NGOZI YENYE MAFUTA, INAONDOA CHUNUSI/BLACK HEADS/WHITE HEADS WE CAN’T WAIT FOR RIHANNA’S MAKEUP LINE. FAHAMU KUCHA ZAKO ZINASEMA NINI KUHUSU AFYA YAKO. SPOTLIGHT :: JINSI YA KUTENGENEZA MOISTURIZING… (0 comment)